Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
- Thread starter
-
- #81
Ntaifanyiaaa Kazi hiii
Ntaku Fata whatsap unipe ramani
Lbda naweza achana na mambo ya kwenda gairo
Etc
Ova
wewe mama mchoyo wa mawazo na utakufa na mtaji wako chini ya mto hata ukujitetea.Au sijakuelewa..ww umesema ina maana ccm.ikitoka.madarakan ndo Rwanda itageuka kuwa nchi kubwa?nikakuambia ww chukua points siasa achana nazo...sifi kwa taarifa yako...kufa ww
Ntaifanyiaaa Kazi hiii
Ntaku Fata whatsap unipe ramani
Lbda naweza achana na mambo ya kwenda gairo
Etc
Ova
wewe mama mchoyo wa mawazo na utakufa na mtaji wako chini ya mto hata ukujitetea.
nikikueleza nna mishe ngapπ€πππ..hapana..sitaweza..ila km atapatikana mtu/watu serious nitamconnect naye
Aaaaaah apo ndo nimekupata ila mmkome kabisa next time kuja apa na kusema sijui watanzania wavivu sijui watanzania nini na nini acheni hii dhana mara moja!!Yaani mtu akupe infor ukamharibie soko lake, ingia mwenyewe field.
Manengelo nakutamania hustles zako , mie mwaya wala sina hela ya kwenda Rwanda wala Comorro huko. Naomba mishe za mitaji midogo na mimi nijikomboe dada yangu.
Ahsante
Hata kusubiri kuletewa infor ni uvuvi. Kwahiyo watanzania ni wavivu.Aaaaaah apo ndo nimekupata ila mmkome kabisa next time kuja apa na kusema sijui watanzania wavivu sijui watanzania nini na nini acheni hii dhana mara moja!!
Manengelo nakutamania hustles zako , mie mwaya wala sina hela ya kwenda Rwanda wala Comorro huko. Naomba mishe za mitaji midogo na mimi nijikomboe dada yangu.
Ahsante
Unadhan ukisubiria mtaji utapata??hapana...huwez...ww anza hapo hapo ulichinacho
Ndio nataka nianze hivyo mkuu ila sijui nifanye biashara gani .
Ulivyosema unamishe nyingi ndio nikakuomba unipatie hata mishe mmoja na mie nipambe nayo .π΄π΄
Sio kweli mkuu, lazima kabla hujapata kibali cha EAST AFRICAN COMMUNITY CERTIFICATE OF ORIGIN, Lazima uwe na EXPORT LICENSEHakuna leseni mbona Rwanda kuna fursa nyingi mbona sasa hivi watu wanapeleka Cement Cash kwa Cash mchawi ni vibali tu ndo leseni yako.
Kweli kabisa mkuu,kabla ya chochote kwanza utafiti,yaani unaweza kuhamasika na jambo mwisho ukajuta,ni vyema kujiridhisha na utafiti ndipo hatua zichukuliweSi utapeli .biashara zina changamoto.kuna jamaa yangu alipata idea ya matikiti maji akaanza kulima alichokutana nacho mungu anajua.utafiti wa kutosha ni muhimu kabla hujaweka fedha zako.mpenzi
Poa poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo..hii deal iko makini sana..sijaandika hapa kupoteza muda..mie niko tyt tu na mambo yale..na hawa madogo ni graduate..wanajua nn wanafanya
Wizara ya viwanda na biashara. Ila lazima uwe na EXPORT LICENSE, kwanzaVibali vinatolewa wapi
Sasa Manengelo mbona unafunua gauni hapo msitari wa mwisho?Habari ndugu wanajamii forum!
Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanukaβΊ
Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...
nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..
Jamani kuna watu wanapiga helaaaaπ€π€..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeeeππππ! wenye mitaji "yenyu"
Kocha Mkuu
@BILGER