ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,259
Mkuu wewe ndo utskuwa mwenyeji aisee alafu unafikiri bila ivyo inawezekana vip kuanza mane?Haya mkuu kuwa makini pia
Mkuu wewe ndo utskuwa mwenyeji aisee alafu unafikiri bila ivyo inawezekana vip kuanza mane?Haya mkuu kuwa makini pia
Kitu ambacho na wewe unakifahamu ni kwamba mtu kuwa limited kiuchumi ni jambo baya sana na linalo umiza mno asee so ndo maana unaona kama wadau tuna papara ila sio papara ni vile tunatafuta stepping stone!!Haya mkuu kuwa makini pia
Niwe mkweli..june nilimpokea mgeni hv akaja kupitia mimi..!nikamuonesha njia za kupiga hela huku amekaa...lakini alichokuja nifanyia mpk ss siamini!..kifupi ananifanyia figisu sana kwenye mishe zangu kwa hali yyt ile...nikisema ni wivu nakosea..labda uchawi kbs..alafu akiniona ananichekea ananiita boss lady..hvyo kwakweli hapana sitapokea mtu tenaa! nimetenda wema nikasepa zanguMkuu wewe ndo utskuwa mwenyeji aisee alafu unafikiri bila ivyo inawezekana vip kuanza mane?
Kitu ambacho na wewe unakifahamu ni kwamba mtu kuwa limited kiuchumi ni jambo baya sana na linalo umiza mno asee so ndo maana unaona kama wadau tuna papara ila sio papara ni vile tunatafuta stepping stone!!
Niwe mkweli..june nilimpokea mgeni hv akaja kupitia mimi..!nikamuonesha njia za kupiga hela huku amekaa...lakini alichokuja nifanyia mpk ss siamini!..kifupi ananifanyia figisu sana kwenye mishe zangu kwa hali yyt ile...nikisema ni wivu nakosea..labda uchawi kbs..alafu akiniona ananichekea ananiita boss lady..hvyo kwakweli hapana sitapokea mtu tenaa! nimetenda wema nikasepa zangu

kiukweli nimecheka mno aisew kwanza pole sana kwa yaliyokusibu lakini mbona umetumia fallacy of generalizataion Mane? ila si kesi itabidi tujiongeze tu wenyewe bt wanaija na wakenya huvutana wenyewe na pia husaidiana kwenye michongo kama hii , uyo aliyekufanyia upuuzi wee mkatae achane nae iko day atakuja kuujua umuhimu wako Mane all in all thanks kwa haya mawili matatu uliyotupa maana uku mbele naona umeweka kabisa nguzo

Sasa bila kuumia Mane unafikiri nitapata vip mkuu?kwenye biashara unaweza umia...!

maana wanasema mtaka cha uvunguni sharti kuinama!!Uwakala wa maji na soda ama uwakala up dadaakeMaji...na zile soda za kwenye makopo wanazipenda balaa!
Uwakala wa maji na soda ama uwakala up dadaake
Niwe mkweli..june nilimpokea mgeni hv akaja kupitia mimi..!nikamuonesha njia za kupiga hela huku amekaa...lakini alichokuja nifanyia mpk ss siamini!..kifupi ananifanyia figisu sana kwenye mishe zangu kwa hali yyt ile...nikisema ni wivu nakosea..labda uchawi kbs..alafu akiniona ananichekea ananiita boss lady..hvyo kwakweli hapana sitapokea mtu tenaa! nimetenda wema nikasepa zangu
Nitakufata inbox nipate ushauli wako wa mwisho kabisaaaa!! Hope next week nami nitafanya kitu hapo. Potelea mbali.!!
Shida ni kwamba Mane umefunga pm asee isingekuwa ivyo maulizo yote yangekuwa yanaishia uko pm ila sasa pm ndo umefunga, fungua basi pm ata kwa muda utuokoe wadau bi dada tayari wewe ushakuwa insipiration kwa baadhi yetu so si vyema kutuacha njiana tusave kwa pale unapoweza na kikubwa tunachotaka apa ni njia na viushauri viwili vitatu mama Mungu akauongoze moyo wako kulifikiria ili Mane mi bado niko na wewe kuanzia kule mpaka ukuhabaha since unitumie ile txt nikajua ww bado mno mno kwanza nilikushangaa mnoo..mie nilifikà Kakola saa 11..saa 1 usk nikawa nishapata eneo..saa 7 mchana mafundi washachimba mashimo..yaan sikujiuliza..ww week lot hili unafatilia info zipi tena?then ww idea yako uliyosema haizidi 300k una hofu gan hapo
!! nilikushangaa!
Mane, Mane ,mane pls okoa wengi funguka apa mama huwezi jua labda Mungu amekuumba uwe njia kwa baadhi ya watu funguka kidogo Mama Phabaha since unitumie ile txt nikajua ww bado mno mno kwanza nilikushangaa mnoo..mie nilifikà Kakola saa 11..saa 1 usk nikawa nishapata eneo..saa 7 mchana mafundi washachimba mashimo..yaan sikujiuliza..ww week lot hili unafatilia info zipi tena?then ww idea yako uliyosema haizidi 300k una hofu gan hapo
!! nilikushangaa!

Mane, Mane ,mane pls okoa wengi funguka apa mama huwezi jua labda Mungu amekuumba uwe njia kwa baadhi ya watu funguka kidogo Mama P![]()
Aaah labda mtaji kakopa sasa anaogopa usije enda na maji alafu FINCA wakafanya yaoHhhhhaaaa....mbòna mie naona nimefunguka vya kutosha?? maana hizo ishi mm sifanyi..ila naona tu wanaofanya na huwa nawazoea nawahoj wanafunguka..huyo Dadu amefika ana week ila mwoga kuanza lolote...unkown fear!lol..

ila mimi nikifika uko nitakusumbua mpaka ukubali kunionyesha njia ata iweje aisee kumbuka wewe umetangulia uko so kuna vingi unavyo tofauti na sisi wengine ambao bado hatujatimba apo bado ndo kwanza tunakusanya info wewe kubali kulibeaba tu ili jukumu tayari lishakua lako

huna jinsiMorocco bidhaa gani inasokoHizi biashara zinataka mtaji wa kutosha si mchezo. Karibuni morocco kuna pesa ya kukinga kwenye soko la nafaka
Niwe mkweli..june nilimpokea mgeni hv akaja kupitia mimi..!nikamuonesha njia za kupiga hela huku amekaa...lakini alichokuja nifanyia mpk ss siamini!..kifupi ananifanyia figisu sana kwenye mishe zangu kwa hali yyt ile...nikisema ni wivu nakosea..labda uchawi kbs..alafu akiniona ananichekea ananiita boss lady..hvyo kwakweli hapana sitapokea mtu tenaa! nimetenda wema nikasepa zangu
Dada manengelo kwa leo nasema tu "Salute" Mungu akupe haja za moyo wako, kwa utukufu wake. Wewe ni watofauti sana.Hahaha...!...! umaskini unaumiza sana kichwa..bas tu...pambana na tupambane
Napokea baraka zako mzee baba!😍Dada manengelo kwa leo nasema tu "Salute" Mungu akupe haja za moyo wako, kwa utukufu wake. Wewe ni watofauti sana.