Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 5,568
- 60,773
Sema sina mtaji.
Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki.
Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na tunamsubiri arudi atuhudumie.
Naongelea Kongowe stand, mpakani mwa dar na pwani.
Kama upo vizuri fungua hapo hiyo biashara.