Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

The _Analyst

JF-Expert Member
May 26, 2017
466
562
Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize tu.

Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Katika thread hapo juu post yake ni #46

Kwa kuwa nafasi imepatikana wakazi wa kanda ya ziwa tutumie thread hii kuji-organize ili aje kutoa mentorship.

Mimi niko Bukoba lakini muda wowote darasa likipatikana niko tayari.
 
Ok watu wa mwanza mtu mmoja ajitokezewa kutuorginize ili jamaa aje
Tuji-organize hapa hapa. Mtu ambaye yuko tayari a-ccoment mkoa anapotoka alafu tukifika watu wa kutosha tunampa taarifa na kupanga naye jinsi ya kurun hiyo program
 
Kama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Nakukubali sana Mr. Yaani nikiona post yako yoyote, huwa zinanipa morali ya kuto kurudi nyuma
 
Kama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Sawa kiongozi ngoja tuendelee kujimobize ili tufikishe hiyo idadi
 
Mwaka huu ONTARIO utakula hela zetu saana ila its simple because your deserve and qualified to have our money.

Niko radhi kuhudhuria pia maana no any money has ever wasted on knowledge.
 
Back
Top Bottom