Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize tu.

Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Katika thread hapo juu post yake ni #46

Kwa kuwa nafasi imepatikana wakazi wa kanda ya ziwa tutumie thread hii kuji-organize ili aje kutoa mentorship.

Mimi niko Bukoba lakini muda wowote darasa likipatikana niko tayari.
Ada please. tujipange
 
...bado , nipe muongozo maana nilikuwa offline kwa muda kidogoo....
Kama unatokea kanda ya ziwa na ungependa kushiriki mafunzo basi zoezi linaloendelea sasa ni kutuma ada. Hivyo uko tayari nikupe link ujoin grp kisha utakuta maelekezo
 
Kama unatokea kanda ya ziwa na ungependa kushiriki mafunzo basi zoezi linaloendelea sasa ni kutuma ada. Hivyo uko tayari nikupe link ujoin grp kisha utakuta maelekezo
...nakwenda dar soon so its better nikapata ratiba za dar...
 
Kama mtaweza kujimobilize mfike japo 100, basi mimi na team yangu tunaweza kuja kwa week 1 tuwape madini, sina shida kbs juu ya hilo. Kanda hiyo ndio home kbs, so tupo pamoja sana.
Mkuu kwa hivyo nkijaribu na Mimi kukusanya watu Wa Tanga tukafika mia utakuja???

Mmhh ila watu wa tanga wana kauvivu flani iviii bora tuu nkufate arusha
 
Hivi huwa mnasoma maelekezo kweli?
Sasa vitabu vyenye kurasa 300 mtasomaje?
Only in Tanzania Deo Corleone!!! Wabongo ukiwapa sentence za kupiga hela wanataka waanze kupiga hela hapo hapo habari za kusoma hawataki hata kusikia! Thread tu mtu imemshinda sasa sijui hivo Vitabu atawezaje
 
Back
Top Bottom