Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

Naombeni wadau waliokuwa wamenitumia namba ya kujiunga NA group tujiunge na hilo lililokuwa limeundwa zamani kidogo
 
Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize tu.

Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Katika thread hapo juu post yake ni #46

Kwa kuwa nafasi imepatikana wakazi wa kanda ya ziwa tutumie thread hii kuji-organize ili aje kutoa mentorship.

Mimi niko Bukoba lakini muda wowote darasa likipatikana niko tayari.
Na Mimi nipo Bokoba
 
Hii post Ingefaa sana kuwepo kule Jukwaa la Matangazo.

Hope Mods watafanyia kazi.

Cc : JamiiForums
 
Kwa Mwanza na mimi nimo make logistics za mji huo zipo favourable kwangu kuliko Dar.

ONTARIO kiurahisi zaidi na namna ya kujua utimilifu wa idadi ya watu utakayo tangaza tarehe ya kuanza training then baada ya hapo tarehe itabadilika baada ya wewe kukamilisha maandalizi ya venue na taratibu zote zitatikanazo.
 
Back
Top Bottom