- Thread starter
- #261
No yellow feverVisa ni elf 78 inaptkan uko uko Tz kwa ubalizo wa Comoro ni yellow fever
No yellow feverVisa ni elf 78 inaptkan uko uko Tz kwa ubalizo wa Comoro ni yellow fever
Ahsante sana mkuu vip kuhusu Hotel naomba unipe picha yakupatikana na gharama kwa jumlaVisa ni elf 78 inaptkan uko uko Tz kwa ubalizo wa Comoro ni yellow fever
Hotel zinanzia euro 20Ahsante sana mkuu vip kuhusu Hotel naomba unipe picha yakupatikana na gharama kwa jumla
Ahsante ila ni pesa ndefu nikama 55000 ya TzHotel zinanzia euro 20
Comoro wanatumia euro n'a mara nyingi huwa tunmshauri abebe mzigo kidogo ili afidie costAhsante ila ni pesa ndefu nikama 55000 ya Tz
Mkuu kama mzigo upi ambao hela inalejea harakaComoro wanatumia euro n'a mara nyingi huwa tunmshauri abebe mzigo kidogo ili afidie cost
HaipoMkuu tunshukuru sana kwa updates huko sera ya mifuko haipo?
ChakulaMkuu kama mzigo upi ambao hela inalejea haraka
Huko biashara gani inabamba zaidi je usafir wa meli unachukia siku ngp na vp gharama za usafirishaji?? Na huko comoro kuna kipi ambacho hku kwetu no adimu???TANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
mfano chakula kipi kitatoka harakaChakula
Haipo
Nitakupatia namba za agenceMkuu meli inapakia lini na lini ili niende kupata somo mawili matatu.
Magimbi vitunguu kabich viazimfano chakula kipi kitatoka haraka
Nitakupatia namba za agence
AminaShukran kaka ubarikiwe sn
Asante!TANGAZO:. WALE WOOTE WALIOONGEA KUHUSU BIASHARA COMORO NA WALIOTAJI KWENDA SAS NAPATIKANA KWA NO 269-3747043 WHATSAPP : NB POLEN NILIPOTEZA CM tafadhal tuliizungumza nitafuten
basi umefuraaahi mwenyewealiekwambia zanzibar 99% waislam nan!? iyo ilikuwa zaman sana na kipindi iko hakukiwa inaruhusiwa kitimoto lakn comoro ni Muslim country wanaish kwa sheria za kiislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, salama?Nitakupatia namba za agence
Wamaanisha viavi vitamu au viazi mviringo? Navitunguu nivitunguu maji au swaumuMagimbi vitunguu kabich viazi