Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Abbitto

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
384
Points
500
Abbitto

Abbitto

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2019
384 500
Ila Mimi mwenzenu ya kusema kuunganisha nguvu mmh bora uendege mwenyewe uone fursa uje ujipange maana uku mingine mijizi au mizulumati unaweza kufika kule labda na mikabichi yako unaachwa kwenye mataa au katikati wanakutosa kwenye maji hapo ndo utakapojua kama asali ni Mboga au kinywaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adilinanduguze

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
892
Points
1,000
Adilinanduguze

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
892 1,000
Unapotaka kufanya biashara na Comoro ni muhimu ukayajua haya

1. Idadi ya watu kule ni takriban laki 8. Hivyo unapoangalia business volume uwe muangalifu, nimeona kwenye post no 71 kuna mtu anataka peleka tani 5 za matunda, Zinaweza zikawa nyingi sana au kidogo

2. Kuna baadhi ya bidhaa wanaoruhusiwa ku import kule ni wenyewe tu, hivyo ili uweze kufanya hiyo biashara lazima ujiunge nao. Katika kujiunga nao usibweteke kuwaamini, kuna mtu aliulizia mambo ya Culture tukambeza humu lakini ni muhimu saana, hawa jamaa kimuonekano ni kama Wazanzibar lakini linapokuja swala la mahusiano ya kifedha wengi wao si waaminifu. Be extra careful

3. Sehemu ya karibu ukitokea Tz kwenda Comoro kwa maji ni Lindi ambapo ni Km takriban 320 mpaka 350
Mpaka mwaka juzi kulikuwa na Meli inafanya trip mara 2 kwa wiki kwenda na kurudi Comoro ikitokea Lindi lakini inaonekana hiyo trip imekufa na ni lazima kutakuwa na changamoto

4. Competitive advantage ambayo tunayo na Comoro ni hiyo ya distance kutoka Lindi kuelekea huko ukilinganisha na Suppliers wengine kama Brazil, China, South Africa, UAE na France

Competitive advantage nyingine ni hiyo ya COMESA na muingiliano wa kiutamaduni na kihistoria

5. Competitive Disadvantage: Our poor brains and Attitudes towards Business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al-Bashr

Al-Bashr

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Messages
709
Points
500
Al-Bashr

Al-Bashr

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2014
709 500
Kwa mbao inategemea umejipanga kufanya ipi..,kuna kutoa shambani (mfano vijiji vya Makete,Lupembe na kupeleka soko la kawaida kama Njombe mjini au Makambako Mtaji wa kuanzia na mil 5 unatosha tu..,Kuna ile ya kutoa Makambako,Njombe au Mafinga na kupeleka masoko makubwa kama Dar,Arusha au Mwanza mtaji wake usipungue mil 20
Kwa mtaji huo mkubwa naweza tengeneza faida kama ngapi ivii kwa wastani
 
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
5,481
Points
2,000
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
5,481 2,000
Tatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
Dawa yake hapo Unakwenda huko huko na kufanya wenyewe Utafiti wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
5,481
Points
2,000
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
5,481 2,000
Sawa mkuu, Lakini unaonaje ukiweka mambo sawa hapa au tuyajenge PM maana hiyo nauli ya kwenda na kurudi huko ukichanganya na survey mbona nao ni mtaji tosha, sasa vipi ukienda bure
Achana na mambo ya PM,Mambo yawekwe Hadharani wote tujifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
5,481
Points
2,000
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
5,481 2,000
yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!, kwa perishable crops hapo ni Shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
2,025
Points
1,500
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
2,025 1,500
Ubalozi wao upo hapa tz .watupe information za kutosha .
 
Z

zerish89

Senior Member
Joined
Feb 28, 2019
Messages
110
Points
250
Z

zerish89

Senior Member
Joined Feb 28, 2019
110 250
TANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
3,041
Points
2,000
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
3,041 2,000
TANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
Mkuu Air Tanzania inaenda mara ngapi kwa wiki uko Comoros return tiketi yao ni shillingapi wastani ila samahani sana
 
Z

zerish89

Senior Member
Joined
Feb 28, 2019
Messages
110
Points
250
Z

zerish89

Senior Member
Joined Feb 28, 2019
110 250
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..

Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana

Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakini fursa ni nying sana
TANGAZO:. WALE WOOTE WALIOONGEA KUHUSU BIASHARA COMORO NA WALIOTAJI KWENDA SAS NAPATIKANA KWA NO 269-3747043 WHATSAPP : NB POLEN NILIPOTEZA CM tafadhal tuliizungumza nitafuten
 
Z

zerish89

Senior Member
Joined
Feb 28, 2019
Messages
110
Points
250
Z

zerish89

Senior Member
Joined Feb 28, 2019
110 250
Mkuu ahsante, Visa inakua on entry au kabla yellow fever card inahitajika na vip mahitaji mingine muhimu for bussiness tour?
Visa ni elf 78 inaptkan uko uko Tz kwa ubalizo wa Comoro ni yellow fever
 

Forum statistics

Threads 1,336,284
Members 512,585
Posts 32,533,534
Top