Fursa ya biashara kwa wana mmu

Miss Natafuta umefanya vizuri kuja na wazo, pia naelewa kwanini haujataka kuliweka wazi hasa kwenye hii hatua ya mwanzo.

Umeeleza vizuri kiasi cha mtaji na gari linalohitajika.

Ningeshauri ukasema inatakiwa mtu awe na kiwango cha kuanzia kiasi fani ndio ajiunge na group ili ikifika idadi ya wanaotakiwa muendelee na hatua zingine. Bila huo utaratibu utajikuta kundi lina watu 1000 lakini mtaji haujatosha.

Lakini ni rahisi ukisema kiwango cha chini mathalani ni 500,000/= au 1,000,000/= mwenye zaidi inakua inaenda hivyohivyo kwa mafungu ya 500,000/= ina maana mtu mmoja anaweza kutoa 1.5M, 2M, 2.5M, 3M, 3.5M n.k

Kila la kheri
 
Billionaire in just two years, kweli town kuna fursa. Teh!!!
 
Kuna fursa ya biashara nimechungulia hapa mjini.
Mimi sina mtaji.ila natamani kama tunaweza kuunda kikundi tuifanye. Inaitaji fuso moja na cash kama 30 m. Kwa kuanzia.ndani ya miaka 2 unakuwa bilionea kama tukipata fuso kumi.naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza group kwa kutumia group link afanye hivo tuungane tutafute hela.uwe mchapakazi lakini hakuna hela rahisi mjini hapa.halafu kama hupendi biashara na hela huna usije kwenye group
Fafanua hiyo biashara itafanyikia wapi?
Nani atakuwa msimamizi wa biashara hiyo?
Biashara itakuwa na uhalali katika nchi hii au ni ya kivipi?
 
Kuna fursa ya biashara nimechungulia hapa mjini.
Mimi sina mtaji.ila natamani kama tunaweza kuunda kikundi tuifanye. Inaitaji fuso moja na cash kama 30 m. Kwa kuanzia.ndani ya miaka 2 unakuwa bilionea kama tukipata fuso kumi.naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza group kwa kutumia group link afanye hivo tuungane tutafute hela.uwe mchapakazi lakini hakuna hela rahisi mjini hapa.halafu kama hupendi biashara na hela huna usije kwenye group
Hivi hiyo biasha ya kusambaza nini kwenye hizo fuso na mil30.
 
Back
Top Bottom