Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
Ahahaa hamtaki?Hahahaha Miss Natafuta ubilionea mtamu
Ahahaa hamtaki?Hahahaha Miss Natafuta ubilionea mtamu
Tengeneza Mkuu.then watu wajoinMi ntatengeneza group
Nasubiri uniunge kwenye group nina 30m ilikuwa inatafuta pakuanziaAhahaa hamtaki?
Ahaaa unatupa mtaji wote?Nasubiri uniunge kwenye group nina 30m ilikuwa inatafuta pakuanzia
Mimi npo tayar kua mmoja wa wanakikundiKuna fursa ya biashara nimechungulia hapa mjini.
Mimi sina mtaji.ila natamani kama tunaweza kuunda kikundi tuifanye. Inaitaji fuso moja na cash kama 30 m. Kwa kuanzia.ndani ya miaka 2 unakuwa bilionea kama tukipata fuso kumi.naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza group kwa kutumia group link afanye hivo tuungane tutafute hela.uwe mchapakazi lakini hakuna hela rahisi mjini hapa.halafu kama hupendi biashara na hela huna usije kwenye group
tupo pamoja mkuu, mniunge kwenye group, mtaji upoAhaaa unatupa mtaji wote?
Ni potential Mkuu.sema wabongo si unawajua?Mm nina 10m,,, tengeneza link tujadili Kama hyo fursa ni potential au la
Hakuna utapeli hapaWazee wa hile pesa tuma hukuu
Tengenezeni group ili ambae yuko Na interest ajiungeNi potential Mkuu.sema wabongo si unawajua?
mama wa fursa mimi mtaniajiri niwe nawabebea helaMiss nipe no yako nianzie kuunda hilo group
Ndio Mkuu Mimi sijui kutengeneza kwa kutumia linkNi group la whatsap mnatengeneza au?
Ahahaa tumia namba yako mwaayaMiss nipe no yako nianzie kuunda hilo group
Tunaunda group Mkuu.kikundi kina katiba yake utaliwaje?ukiitwa kwenye fursa angalia usije kuwa wewe ndio hiyo fursa nakuja PM nikiwa na tahadhari hiyo .....