Fursa ya biashara kwa wana mmu

Sasa ww mtooa mada umesema huna mtaji, ukiingia kwenye group utachangia nn, au 0713 yako ndo mtaji
 
Kuna fursa ya biashara nimechungulia hapa mjini.
Mimi sina mtaji.ila natamani kama tunaweza kuunda kikundi tuifanye. Inaitaji fuso moja na cash kama 30 m. Kwa kuanzia.ndani ya miaka 2 unakuwa bilionea kama tukipata fuso kumi.naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza group kwa kutumia group link afanye hivo tuungane tutafute hela.uwe mchapakazi lakini hakuna hela rahisi mjini hapa.halafu kama hupendi biashara na hela huna usije kwenye group
Whaaaaaaaaaaaaaaaat!!???????
Ngoja ninawe uso kwanza maana macho chenga
 
Back
Top Bottom