Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Hahahah, most of the times wala hujakosea mkuu! Thanks for the compliment.Man, I don't know why I love you, nadhani because you are always happy. I don't know you, ila una raha, furaha na unajikubali
Ukinikuta nimekasirika ujue kuna mtu kanifyatua ila huwa sipendi hio hali naepukaga watu wa hivyo sana.
Kimsingi i really love engaging with people tutie story na kufurahia maisha. Kuna mtu pia aliwahi niuliza swali kwamba hivi mie mbona kila mtu napatana na kucheka nae? 😂She finds it so strange!