Fursa: Nufaika kupitia simu yako ya mkononi

Fursa: Nufaika kupitia simu yako ya mkononi

Sijui kuna kampuni imeingia ubia na Zantel. Lengo ushawishi watu ili watumie Zantel na wao wakipata wenzao wanaongeza pato lako. Je nani utamshawishi atumie Zantel ilhali wateja wake wengi ni voda?Biashara hiyo imenishinda hata kabla sijaianza. Huwezi kumshawishi mtu atumie mtandao asiouhitaji. Tumsifu Yesu Kristu.

Yesu anahusikaje hapa?
 
Jaman muwe wa kweli , ukiulizwa mkoa uliopo taja mkoa sahihiiiii
 
Kama bado hujapata fursa , tuchekiane
 
NAMSHUKURU MUNGU RIFARO IMEANZA KUNIINGIZIA KIPATO KWA KUNIRUDISHIA GHARAMA KILA NINAPOMSHAWISHI MTU MMOJA KUINGIA KWENYE HII BIASHARA NAPATA KAMISHENI YA TSH20000/=,SASA BASI KAMA UNAPENDA KUJIUNGA NA RIFARO NICHEKI HAPA 0762801117 KWA MAELEZO ZAIDI NA UKIJIUNGA KUPITIA MIMI ILE KAMISHENI NITAKAYOPATA NITAKURUDISHIA WEWE UKIJIUNGA KUPITIA MIMI LAKINI KWA UPANDE WANGU NITAFAIDIKA NA WEWE BAADAE UTAKAPOFANIKISHA KUWAUNGANISHA WATU WENGINE AMBAO MTAKUWA KWENYE ORODHA YA KIZAZI CHANGU(napatikana mwanza)
tembelea hapa www.rifaroafrica.com
 
Back
Top Bottom