Sijui kuna kampuni imeingia ubia na Zantel. Lengo ushawishi watu ili watumie Zantel na wao wakipata wenzao wanaongeza pato lako. Je nani utamshawishi atumie Zantel ilhali wateja wake wengi ni voda?Biashara hiyo imenishinda hata kabla sijaianza. Huwezi kumshawishi mtu atumie mtandao asiouhitaji. Tumsifu Yesu Kristu.
Danpol mkuu ndugu yangu leo ni tarehe 12 Feb 2015 saa kumi na dakika 17 na sekunde nane jioni.Leo n Tarehe ngapi kaka?
Hata hao waliokwisha iona sidhan kama wanaiweka hadharan , njoo inbox nikupe maelezo
hahaha hapa ni JF kama una ishu inayoweza kuwasaidia wadau ww iweke wazi hapa unacho ogopa ni nini??.
au unataka huko PM ukatapeli watu??.
kwani ww kunavingapi unapewa na kupata bure hapa JF hutozwi hata cent??.
ona sasa hata hiyo thread hapo juu umeiandika umelipia?? jibu ni hapana.
acha u mimi ww.
kama ww unapewa bure nawe toa bure.
lakini kama ni tapel utawapata tuu haina shida
lugha gani hyo mkuu
Mnao mfata inbox kuweni makini sana msije lia baadaee
Ili utapeliwe lzma uwe na tamaa