Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Mnh...kweli? Na lako kwetu linamaanisha mnyama wa pori. We muwindaji?Mkuu hilo jina lako kwa lugha ya kabila langu ni K...
Mnh...kweli? Na lako kwetu linamaanisha mnyama wa pori. We muwindaji?Mkuu hilo jina lako kwa lugha ya kabila langu ni K...
Hapana Mimi siyo mwindaji ila hili langu ni mnyama huyuMnh...kweli? Na lako kwetu linamaanisha mnyama wa pori. We muwindaji?
Wewe ni ke au me?Mnh...kweli? Na lako kwetu linamaanisha mnyama wa pori. We muwindaji?
Prondoumenifanya nicheke hapa nilipo.Kwanini hukuweka hili tsngazo jukwaa la Kazi?
Hili tangazo la kazi kuna vitu vingi haviko wazi nandio maana baadhi wa watu wanahisi ndivyo sivyo. Labda mleta uzi ungejaribu kuweka mambo hadharani ili watu wachangamkie hiyo fursa. Kila la kheri.Mkuu nakuja jamani mbona mshahara haujasema
Unatafuta mke kuwa wazi auHabari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)
Mshahara utakuwa mzuri.
Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.
Alisha-update tayari kuwa amepata aliyekuwa akimuhitajiBadala ya kuchangamkia fulsa..mtoa mada anashambuliwa 😀😀
VIP wewe huitaji mfanyakazi nije?Alisha-update tayari kuwa amepata aliyekuwa akimuhitaji
Mmmmmm unatafta fursaVIP wewe huitaji mfanyakazi nije?
Ha ha ha.Mkuu kwa mbinu hii lazima umpate mwenye sifa unazo taka, maana kwa usawa huu kumpata mw'mke mzuri ki muonekano halaf very sharp n smart minded inahitaji mipango na mikakati kama hii.
Hongera mkuu kwa kutumia mbinu za kisasa zaid, nyinyi ndio vijana mnao takiwa kwa sasa maana hawa viumbe wanahitaji zaid ya elim ya darasani kuwapata na hata kuwacontrol.