Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 729
- 1,593
- Thread starter
- #61
Mbona mkuu una uchungu hivyo?Kama unampa gari si aende nyumbani kwake?kwa nini alale hapo?au kwa vile ana cheti cha uongozi unataka akuongoze kumtoboa?
Kila business ina terms and conditions.
Ndiyo maana mtu akiridhika anafanya.
Siwezi kuendesha ratiba na mipango yangu for your opinion.