Fursa kwa mdada mmoja

Fursa kwa mdada mmoja

Habari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)

Mshahara utakuwa mzuri.

Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.
Umesahau kigezo kimoja: Awe tyr kutoa goli...
 
Wanaume wengi si waaminifu.
Pia kwa kazi kama kupika , deki , vyombo hawapo vizuri.
sio kweli kama anahitaji kazi hawezi akafanya uhuni pia katika swala la kupika nipo vizuri kwa kuwa wote ni wanaume makosa madogo madogo yanatokea
 
Hilo jina lako na mtu unayemtafuta sitamshauri mdogo wangu kuja,afanye kazi asubuhi hadi sa 4 wewe unakuwepo?mmmnh nina wasiwasi utamtoboa,kalete ndugu yako tu.
😀😉😉🙂 atamtoboa eti .......
 
Hilo jina lako na mtu unayemtafuta sitamshauri mdogo wangu kuja,afanye kazi asubuhi hadi sa 4 wewe unakuwepo?mmmnh nina wasiwasi utamtoboa,kalete ndugu yako tu.
Mimi naenda kazini SAA 12 sipo ndani.
Hata hivyo ni ajira kama ajira nyingine mbona.
 
Habari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)

Mshahara utakuwa mzuri.

Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.
Mimi ninahitaji kazi hiyo niliwahi jifunza gari japo sina uzoefu pia kazi hiyo ni ya kulala au kwenda na kurudi maana mimi nina familia kama kwenda na kurudi na ikiwa utaridhia kunipa kazi naomba
Elimu yangu ni kidato cha nne ila nina cheti cha uongozi
 
Fikra za kimaskini.
Huwezi kufanikiwa kama unawaza negative.
Mkuu hapana kwa kweli,ungekuwa unaish n wife atleast ingepunguza sintokujalaumu lakini hapana kwa kweli.acha waje ndugu za wengine.Dadaangu mashallah!
 
Mkuu Mimi kazi za ndani siwezi ila nipo expert kwenye kusimamia hizo biashara zako ukizingatia Mimi mchaga .
Ila sitaiba ili nifungue biashara yangu
Pia najua kudrive na Nina lesen kabisa hautasumbuka.
 
Mimi ninahitaji kazi hiyo niliwahi jifunza gari japo sina uzoefu pia kazi hiyo ni ya kulala au kwenda na kurudi maana mimi nina familia kama kwenda na kurudi na ikiwa utaridhia kunipa kazi naomba
Elimu yangu ni kidato cha nne ila nina cheti cha uongozi
Unafamilia ukimaanisha umeolewa au una mtoto?
Kama ni mtoto unaweza kuja kuishi naye hamna tatizo.
Kufanya kazi na kurudi itakuwa shida kidogo maana kuna kupika dinner sasa sijawaza hivyo.
 
Mkuu Mimi kazi za ndani siwezi ila nipo expert kwenye kusimamia hizo biashara zako ukizingatia Mimi mchaga .
Ila sitaiba ili nifungue biashara yangu
Pia najua kudrive na Nina lesen kabisa hautasumbuka.
 
Mkuu hapana kwa kweli,ungekuwa unaish n wife atleast ingepunguza sintokujalaumu lakini hapana kwa kweli.acha waje ndugu za wengine.Dadaangu mashallah!
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom