Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Mbona umeweka kwenye jukwaa LA mahusiano mkuu
Sasa gari unaweza kuendesha labda ungo uliofundishwa na mshanauwe unaniita kwenye fursa kama hzi
Me nimeshapata mana leseni ninayo ebu niulizie mshahara sh ngapiKuendesha gari ndo kumenikosesha fursa
ungo si ndo usafir wa harakaSasa gari unaweza kuendesha labda ungo uliofundishwa na mshana
Mshahara inaelekea ni mnono andaa tu cheti chako cha form fourMe nimeshapata mana leseni ninayo ebu niulizie mshahara sh ngapi
Hakuna shida aseme tu kiwango cha mshahara hivi jioni narudi kwangu eenhMshahara inaelekea ni mnono andaa tu cheti chako cha form four

Kama unampa gari si aende nyumbani kwake?kwa nini alale hapo?au kwa vile ana cheti cha uongozi unataka akuongoze kumtoboa?Unafamilia ukimaanisha umeolewa au una mtoto?
Kama ni mtoto unaweza kuja kuishi naye hamna tatizo.
Kufanya kazi na kurudi itakuwa shida kidogo maana kuna kupika dinner sasa sijawaza hivyo.
Mambo. Nipe nafasi ya kuilamba hio miguu.Sipati picha nikija mm maana naweza kukunyoosha kisawasawa maana Nia yako hope sio nzuri
Umenikumbusha enzi hizo nasoma, tulikuwa tuna msemo wa 'Fasihi ni hisi, ukijihisi ujumbe umefika'Wanasema Fasih ni jinsi unavyoitafsir wewe enhee? Bas mie nmekuelewa
Kwanini hukuweka hili tsngazo jukwaa la Kazi?
Mwenye macho haambiwi tazamaHii ni 'two in one'na kweli apa pameeleweka vzr tena kazi jukwaa la MMU

Itakua,maana hajasema kama kulala hapo hapo,asubuhi we unaulamba unaenda ofisiniHakuna shida aseme tu kiwango cha mshahara hivi jioni narudi kwangu eenh