Fursa hii kwa wadada!!!!

Hahahahahaha nakwambia unaishia kununuliwa tecno ya 25 tuuuu wanaume wa bongo wana dhambi sanaaa
Demi nenda China na ww ukajaribu bahati yako,bongo wanaishia kuhonga tecno tena zile featured phones
 
nawashangaa hasa wanaosema eti camera nzuri....na camera yake ilivyo tofauti ukinionesha picha tu najua ni ya tecno hahahaha
Mbna na wewe unatumia tecno sisemi tutume kila mtu screen short hapa tuone unatumia simu gani?

Muoneeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…