Fursa hii kwa wadada!!!!

Fursa hii kwa wadada!!!!

Bei ya China na tz ni tofauti...cjui hiyo nyumba kwa China ikoje...
Na hata kwa bongo pia cjui hiyo nyumba ingekua ni ya hadhi gani.
 
Weka screen shot upate
daah! sitaki kuamini naikosa namba ya Demiss hivi hiviii...[emoji30][emoji30][emoji17][emoji17][emoji17][emoji24][emoji24][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Nimechekaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom