Fursa hii kwa wadada!!!!

Fursa hii kwa wadada!!!!

Wanaume nao siku hizi wanasutaaa loooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji6][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpk mkoa kama ukifanya mchezo
Uwiiiiiiiii usinichekeshe basi kwanini ahameeeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo ukimwambia boyfriend akununulie hata Tecno ya promotion anakuandikia uzi Jamiforum mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Waombeni baba zenu..! Nao si wanapumbu kama siye boyfriend zenu, baba haana helaa (puani/nosal sound) chuma ulete wakubwa nyie.
 
Hatari nakwambia wanaume wa bongoo tunavumilia tu

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unafunguliwa thread ya kusimangwa umeomba techno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Demiss umejua kuvunja mbavu zangu leo
 
Back
Top Bottom