naiomba basi ex babe!Kwani hutaki namba ya mrembo Demiss ex hubby? Acha uzembe basii


haya tuma hiyo namba kabisaa....ole wako!Tatizo anaponda simu za Tecno wakati ndo anayotumia kama nabisha aweke screenshort tumalize kesiiii
Weka screen shot upatenaiomba basi ex babe!![]()
aisee asije akaniloga huyo kaka yako mmHapana hapana. Kawaida mnaitana pm. Namsaidia kaka kulinda akiwa busy



ukifungua niambieNgoja nifungue
mmmhNachochea kuni zaidiiii
Wifi sema tu unataka kumpa Miller namba. screen shot tuu ndo ajishindie namba nakataaa





Yupo mbali kwenye ujenzi wa ViwandaHata wifii uwe unamwambia anapikaaa
Ni kweli kabisaaa akiUsicheke ujue ni kweli![]()