Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,717
9,510
Habari wadau wangu,

Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii.

Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini pamoja nami na kufurahia pamoja nami ila namshangaa sana besti wa mm Chachu Ombara sijui yuko BUSY sana au kajisahau niini hahhaaaaa itakuwa ni uzee umesogeza

Furahiini pamoja nami kwa siku nzuri na njema kama hii Chachu Ombara nasubiria keki yangu hahaaaaaa, hata kwa mawazo basi tuma hahaaaaaaaaaa habaaaaaaaa its jokes.

Nawafurahia wadau wangu wa hapa.

Wasalam,
Ladyf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom