Furaha ya msukuma kuambiwa mahari kubwa

Furaha ya msukuma kuambiwa mahari kubwa

mbona wasukumu wengine njaa tupu ahadi nyingi mnashindwa kutekeleza hivyo vitendo tutavionaje

Nani kakufanyia hivyo nimfunde. Hajapitia ihano huyo nini. Hebu mwambie anitafute.
 
Imenikumbusha rafiki zangu Pageja wa pageja na Bukwimba!
 
Endelea kutangaza ufahari wa mahari kubwa wakati hata kumiliki baby walker inakuwa changamoto kwako.
 
sidhani kama lilikuwa ni jambo zuri kwani ilikuwa ni kama kumuuza binti yenu hata ateswe vipi ilimlazimu kurudi tu kwa hofu ya wazazi kushindwa kulipa mahari,as for me mahari kidogo tu inanitosha ili binti yangu asijeona kama ameua kwao.
Ila bwana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi wasukuma kwa kiasi ninachowafahamu hawana kabisa tabia ya kutesa wanawake. Sanasana labda ni kumzalisha na kukamua maziwa ya ng'ombe basi. Of coz na kutoa papuchi mwanzo mwisho.
 
Mimi ni msukuma hasa, chapa ya ng'ombe. Nashangaa mtu anaambiwa kutoa mahari milioni tano anaona issue. Sisi wasukuma raha yetu kuambiwa mahari kubwa.

Nitafurahi sana endapo wakwe zangu watadai mahari kubwa. Ndio uanaume huo. Ndio tofauti hiyo.

Watu wengine kuhonga tu wanalialia. Mpe mtoto wa kike mapesa bana. Acheni ubahili jamani.
Aiseee!
 
Ila bwana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi wasukuma kwa kiasi ninachowafahamu hawana kabisa tabia ya kutesa wanawake. Sanasana labda ni kumzalisha na kukamua maziwa ya ng'ombe basi. Of coz na kutoa papuchi mwanzo mwisho.
Umesingizia!
 
sasa mkuu hayo sio mateso?ujue maswala ya kutoa pauchi kila siku nayo ni mateso hasa kwa mwanmke ambaye mpaka aandaliwe weeee hata nusu saa ndo awe tayari na sasa sijui kama hawa wenzetu wasoukouss wanamambo ya romantic au ndo mayo zogoshi sebene linanaanzishwa?kulima wasukuma kwa kulima ndio namba moja binti yako analimishwa mpaka ndoto anaota ndoto za shamba tu,mtoto katoka mjini kazoea kitabu,sio mateso hayo mkuu?

Sio mateso bana watoto wa kisukuma huwa wanakuwa tayari muda mwingi maana wanajua wanaolewa ili wakatoe papuchi. Na kulima ni kitu kilishazoeleka kama vile wewe kula wali kwa hiyo hawaoni kama ni mateso kabisa.
 
Back
Top Bottom