Furaha ya msukuma kuambiwa mahari kubwa

Furaha ya msukuma kuambiwa mahari kubwa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Mimi ni msukuma hasa, chapa ya ng'ombe. Nashangaa mtu anaambiwa kutoa mahari milioni tano anaona issue. Sisi wasukuma raha yetu kuambiwa mahari kubwa.

Nitafurahi sana endapo wakwe zangu watadai mahari kubwa. Ndio uanaume huo. Ndio tofauti hiyo.

Watu wengine kuhonga tu wanalialia. Mpe mtoto wa kike mapesa bana. Acheni ubahili jamani.
 
furaha hiyo inakuja zaidi hasa kama mtoto anakuwa cheupe dawa au siyo mkuu?
 
Mahali kubwa ilisaidia kuimarisha ndoa miaka ya nyuma binti akitaka kuvunja ndoa wanamshauri mara mia arudi tu kwa mmewe wakihofia kubaki mikono mitupu jamaa akichukua mali zake baada ya ndoa kuvunjika lakini kwa .com sijui kama inawezekana.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4.
 
Sisi bana hatutaki shida na mwanamke kama kugonga tunajua. Kwann umtese mtoto wa kiki?
 
furaha hiyo inakuja zaidi hasa kama mtoto anakuwa cheupe dawa au siyo mkuu?

yaa ni kweli mkuu ilikuwa ni uwekezaji akifyatua weupe peeeeee umasikini anaanza kuusikia kwa majirani tu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4

sidhani kama lilikuwa ni jambo zuri kwani ilikuwa ni kama kumuuza binti yenu hata ateswe vipi ilimlazimu kurudi tu kwa hofu ya wazazi kushindwa kulipa mahari,as for me mahari kidogo tu inanitosha ili binti yangu asijeona kama ameua kwao.
Mahali kubwa ilisaidia kuimarisha ndoa miaka ya nyuma binti akitaka kuvunja ndoa wanamshauri mara mia arudi tu kwa mmewe wakihofia kubaki mikono mitupu jamaa akichukua mali zake baada ya ndoa kuvunjika lakini kwa .com sijui kama inawezekana.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4.
 
naomba hiyo dhana usiwe nayo na wewe tuitupilie kule mbali kwenye vizazi vile lakini kwa sasa tunapaswa kuelimika kwani mwanamke sio bidhaa bwanah wala sio mtaji.
yaa ni kweli mkuu ilikuwa ni uwekezaji akifyatua weupe peeeeee umasikini anaanza kuusikia kwa majirani tu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4

sidhani kama lilikuwa ni jambo zuri kwani ilikuwa ni kama kumuuza binti yenu hata ateswe vipi ilimlazimu kurudi tu kwa hofu ya wazazi kushindwa kulipa mahari,as for me mahari kidogo tu inanitosha ili binti yangu asijeona kama ameua kwao.

Ilikuwa silaha ya kuwadhibiti mabinti kuvunja ndoa hovyohovyo mpaka walipoona kweli kuna sababu ya msingi.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4.
 
naomba hiyo dhana usiwe nayo na wewe tuitupilie kule mbali kwenye vizazi vile lakini kwa sasa tunapaswa kuelimika kwani mwanamke sio bidhaa bwanah wala sio mtaji.

Blue G:Hii siyo sasa ndiyo maana nikatumia neno ilikuwa na kweli wengi iliwatoa kimaisha.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Ebrania 13:4.

Mahali hiyo kubwa ndo inasababisha umpige kipigo cha paka mwizi
 
Back
Top Bottom