Funzo: Usahili wa TRA kwa graduate walioko JamiiForums

kupita kwa written haikupi guarantee ya kupata kazi

unaenda oral, hapo kama mzee wako mkulima utaishia kupata 89%

labda iwe kazi ya mshahara laki 3 na nusu
Utumishi Wanasifika kwa Kuwaweka Watoto wasiokua na Vibosile tena Mifano ninayo wewe Darasa Ulilokua unasoma hakuna watu wamepata Kazi kupitia Utumishi? Nadhani Hali zao Unazijua Mimi kuna Vijana wawili nawafahamu walipata Tena Mbili mbili ilibidi wachague Kipindi hicho walikua Wamefululiza kutoa Post.
 
mshahara level gani?

maana kuelewa kazi pia
 
Binafsi Nimeshangazwa na Idadi ya Watu wengi waliofeli huku kutwa Nzima Wakilalamikia Serikali.

Jamii Forum
Kiukweli inasaidia sana kosa la Kiufundi linalofanywa na graduates wengi ni Kushinda kwenye Majukwa kama Lile na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kutwa Nzima au Chit-Chati kuna wengine wanajiita Makapuku. Japo usishinde sana pia humu Mtu kama Maxence Melohata hashindi humu japo ni Mmiliki wa Jamii Forums unakuta Last seen yake two days ago wewe a moment ago.

Inasikitisha Mtihani Ule wa TRA ambao Wote ulikua Jamii Forums mtu anafeli

-Kuna Issue ya Ku Extend IPO ya Vodacom Niliileta Mimi Mwenye na Swali Lilitoka.

-Report ya Professor Osoro yote ipo humu
-Report ya Mruma yote ipo humu

-Hotuba ya Waziri wa Fedha ipo humu na hata vijijini huwa wanashikiria viredio na Kusikiliza, Jiji la Dar es Salaam lilivyo Busy lakini hata karikoo huwa watu wanafuatilia Budget.

-Hata hatua za Kuanzisha Biashara zipo humu.

Verdict: Majukwaa yote yana Manufaa Ila kama Bado unatafuta angalau shiriki katika Majukwaa yenye Elimu. Tuache kufuatilia mambo yasiyokua ya msingi Siku hizi kuna

Twitter
Instagram
Snap chat
Facebook
Whatsaap
Linked In
Tango
Jamii Forums

Ukitoa masa 8 ya Kulala unabakiwa na 16 yanaweza yasikutoshe kuvinjari kweye Social Networks mi binafsi Facebook, snap Chat, Instagram, Tango nilisha Unstal katika Simu yangu.

Jamii Forums ni Muhimu sana na Twitter ndo huwa natumia zaidi.

Vijana mnadharirika mwenzio anapata 89% wewe unapata 11% tuwe serious wakuu Mimi nilishawahi Kufanya Interview ya UN tulikua watanzania Watupu Hakuna mtu aliyepatikana Na Mimi Nilikuemo wakatangaza upya kazi. Watanzania Wengi tumesoma Ila Siyo Competent imagine mnafanya interview hakuna anayepita.

Taangu siku hiyo Nikabadilisha Maisha yangu at least kwa sasa Nina vitu Unique.

Tubadilishe Maisha Hakikisha Una Ratiba Maalum Unaweza kuchungulia JF saa Asubuhi, tea time, Lunch time, na night.
View attachment 594060
Jamaaa una zarau Sana
Ila poa tu ipo siku
 
UNAWEZA KUPITA WRITEN, HALAFU ORAL WANAKUANGALIA SURA, FAMILY BACKGROUND, HALAFU WANAKUBWAGA. AHAHAHAH DUNIA HII JAMANI

UKIONA MTOTO WA KAPUKU KAPEWA KAZ YA ULAJI UJUE KAPEWA KWA BAHATI BAHATI TU, YANI KATKA KUNYOFOA AKAPATKANA NA YEYE.. NA NAFAS IKIWA 1 NDYO KABISA HUYO KAPUKU HAPEWI HATA AKAROGA
 
Tuna vijana na graduates wa hovyo sana haijawahi kutokea!!
Hasa hawa wa kuanzia miaka ya 2000s hadi sasa 2017 ni majanga sana.

Niliipongeza TRA na Ajira portal kwa mitihani yenye akili.
 
Hakuna dini makini kama dini ya UKWELI. Nakupongeza mtoa mada; na kama kuna atayekupinga hapa, UKWELI utamuingia tu. Ndio maana naupenda UKWELI. Katika kila jambo UKWELI utabaki.

Kwa niaba ya waliokuelewa, tunashukuru kwa kupoteza muda wako kutuelimisha UKWELI.
 
Mi nafikiri fundisho sahihi kwa sisi tunaosaka kazi ni kwamba tumeshakariri interview za written huwa yanakuja na maswali ambayo tumeyasoma darasani. sasa kwa hii interview ya TRA ya juzi imeshangaza watu wengi.
fundisho tuliopata ni kwamba tuwe tunasoma current issues zinazotokea hapa tanzania ili next time unapopata nafasi ya interview uwe umejiandaa vizuri katika kila idara kuanzia kwenye profession uliyosomea na current issues zinazoendelea.

Pamoja na hayo yote, kufaulu written interview sio kigezo cha moja kwa moja kwamba ndio umepata kazi bado kuna oral interview inakusubiri ambayo lazima uwe umejiandaa kisaikolojia. kwahiyo hii ndiyo funzo kwa watu ambayo bado hawajapata ajira.
 
Dogo umefaulu huo mtihani nini?

Hongera kama umefaulu.

Graduates wengi wa kitanzania wamekarili masomo ya darasani tu, ukiwatwist kidogo wanaangukia pua.

Nje ya darasani hawajui kitu. Wako instagram na facebook wakishare page za utam unakuja utam unakata. Humu JF wako jukwaa la mapenzi, chit chat sijui na vitu gani.

Kuna wengine wamekuja ofisini kwetu kufanya field, wakaletwa kwangu niwaelekeze baadhi ya mambo, nikawauliza swali nililoliona kwenye usaili wa TRA la Mruma, wote wakasema hawajawahi kumsikia.

Niliwauliza tu Mruma au Urosso mlishawahi kumsikia, wote wakasema hapana, nikawauliza makinikia mliwahi kuyasikia, mmoja tu akasema alisikia kwenye taarifa ya habari ila hakujua ni nini.

Kwa kweli TRA nawapongeza kutoa mtihani ule, naomba taasisi zote za serikali zijikite kusaili vijana namna ile.
 
naomba niwatie moyo tu wasaka ajira wenzangu kwamba ipo siku itatokea paper yenye muelekeo wa unayofahamu na utafaulu tu. kushinda jf na kufuatilia current issues pekee sio jibu kwa kila interview kwa mfano paper ya pccb na tra hazifanani wala hazina muelekeo unaofanana. ipo siku tu paper yaweza kujaa maswali kuhusu mpira wa miguu na michezo kwa ujumla so husiache kufuatilia michezo au mambo mengine unayoyapendelea ipo siku hayo unayoyapenda ambayo mwingine anakukebehi na kukudharau ndiyo yatakayo kutoa japo ni kweli tupunguze kufuatilia mambo ya kidakudaku na umbea hayana tija sana kwetu.
nb. mwisho wa siku wa kufaulu lazima wawe wachache hata kama paper ingevuja. hongera zao ila oral hakuna makinikia wa agoa jipangeni vema
 
God will not drive flies away from a tailless cow.
 
Binafsi Nimeshangazwa na Idadi ya Watu wengi waliofeli huku kutwa Nzima Wakilalamikia Serikali.

Jamii Forum
Kiukweli inasaidia sana kosa la Kiufundi linalofanywa na graduates wengi ni Kushinda kwenye Majukwa kama Lile na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kutwa Nzima au Chit-Chati kuna wengine wanajiita Makapuku. Japo usishinde sana pia humu Mtu kama Maxence Melohata hashindi humu japo ni Mmiliki wa Jamii Forums unakuta Last seen yake two days ago wewe a moment ago.

Inasikitisha Mtihani Ule wa TRA ambao Wote ulikua Jamii Forums mtu anafeli

-Kuna Issue ya Ku Extend IPO ya Vodacom Niliileta Mimi Mwenye na Swali Lilitoka.

-Report ya Professor Osoro yote ipo humu
-Report ya Mruma yote ipo humu

-Hotuba ya Waziri wa Fedha ipo humu na hata vijijini huwa wanashikiria viredio na Kusikiliza, Jiji la Dar es Salaam lilivyo Busy lakini hata karikoo huwa watu wanafuatilia Budget.

-Hata hatua za Kuanzisha Biashara zipo humu.

Verdict: Majukwaa yote yana Manufaa Ila kama Bado unatafuta angalau shiriki katika Majukwaa yenye Elimu. Tuache kufuatilia mambo yasiyokua ya msingi Siku hizi kuna

Twitter
Instagram
Snap chat
Facebook
Whatsaap
Linked In
Tango
Jamii Forums

Ukitoa masa 8 ya Kulala unabakiwa na 16 yanaweza yasikutoshe kuvinjari kweye Social Networks mi binafsi Facebook, snap Chat, Instagram, Tango nilisha Unstal katika Simu yangu.

Jamii Forums ni Muhimu sana na Twitter ndo huwa natumia zaidi.

Vijana mnadharirika mwenzio anapata 89% wewe unapata 11% tuwe serious wakuu Mimi nilishawahi Kufanya Interview ya UN tulikua watanzania Watupu Hakuna mtu aliyepatikana Na Mimi Nilikuemo wakatangaza upya kazi. Watanzania Wengi tumesoma Ila Siyo Competent imagine mnafanya interview hakuna anayepita.

Taangu siku hiyo Nikabadilisha Maisha yangu at least kwa sasa Nina vitu Unique.

Tubadilishe Maisha Hakikisha Una Ratiba Maalum Unaweza kuchungulia JF saa Asubuhi, tea time, Lunch time, na night.
View attachment 594060
Mkuu umeongea ukweli kabisa. Tuna kizazi cha graduate wavivu mno wa kujifunza mambo ya msingi ya kimaisha, ndio maana hata majukwaa ya vijana ya vyama vya siasa siku hizi ni maghala ya matusi, uzushi na propaganda za kishenzi shenzi tu.
 
Back
Top Bottom