Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Binafsi Nimeshangazwa na Idadi ya Watu wengi waliofeli huku kutwa Nzima Wakilalamikia Serikali.
Jamii Forum
Kiukweli inasaidia sana kosa la Kiufundi linalofanywa na graduates wengi ni Kushinda kwenye Majukwa kama Lile na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kutwa Nzima au Chit-Chati kuna wengine wanajiita Makapuku. Japo usishinde sana pia humu Mtu kama Maxence Melohata hashindi humu japo ni Mmiliki wa Jamii Forums unakuta Last seen yake two days ago wewe a moment ago.
Inasikitisha Mtihani Ule wa TRA ambao Wote ulikua Jamii Forums mtu anafeli
-Kuna Issue ya Ku Extend IPO ya Vodacom Niliileta Mimi Mwenye na Swali Lilitoka.
-Report ya Professor Osoro yote ipo humu
-Report ya Mruma yote ipo humu
-Hotuba ya Waziri wa Fedha ipo humu na hata vijijini huwa wanashikiria viredio na Kusikiliza, Jiji la Dar es Salaam lilivyo Busy lakini hata karikoo huwa watu wanafuatilia Budget.
-Hata hatua za Kuanzisha Biashara zipo humu.
Verdict: Majukwaa yote yana Manufaa Ila kama Bado unatafuta angalau shiriki katika Majukwaa yenye Elimu. Tuache kufuatilia mambo yasiyokua ya msingi Siku hizi kuna
Twitter
Instagram
Snap chat
Facebook
Whatsaap
Linked In
Tango
Jamii Forums
Ukitoa masa 8 ya Kulala unabakiwa na 16 yanaweza yasikutoshe kuvinjari kweye Social Networks mi binafsi Facebook, snap Chat, Instagram, Tango nilisha Unstal katika Simu yangu.
Jamii Forums ni Muhimu sana na Twitter ndo huwa natumia zaidi.
Vijana mnadharirika mwenzio anapata 89% wewe unapata 11% tuwe serious wakuu Mimi nilishawahi Kufanya Interview ya UN tulikua watanzania Watupu Hakuna mtu aliyepatikana Na Mimi Nilikuemo wakatangaza upya kazi. Watanzania Wengi tumesoma Ila Siyo Competent imagine mnafanya interview hakuna anayepita.
Taangu siku hiyo Nikabadilisha Maisha yangu at least kwa sasa Nina vitu Unique.
Tubadilishe Maisha Hakikisha Una Ratiba Maalum Unaweza kuchungulia JF saa Asubuhi, tea time, Lunch time, na night.
God will not drive flies away from a tailless cow.