Funzo: Usahili wa TRA kwa graduate walioko JamiiForums

Mi naomba nisaidie maswali naenda kufanya usaili idara ya maji kitengo cha sales assistant. Sijawah Fanya interview yoyote kabda maswal gan naweza kutana nayo?
 
Binafsi Nimeshangazwa na Idadi ya Watu wengi waliofeli huku kutwa Nzima Wakilalamikia Serikali.

Jamii Forum
Kiukweli inasaidia sana kosa la Kiufundi linalofanywa na graduates wengi ni Kushinda kwenye Majukwa kama Lile na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kutwa Nzima au Chit-Chati kuna wengine wanajiita Makapuku. Japo usishinde sana pia humu Mtu kama Maxence Melohata hashindi humu japo ni Mmiliki wa Jamii Forums unakuta Last seen yake two days ago wewe a moment ago.

Inasikitisha Mtihani Ule wa TRA ambao Wote ulikua Jamii Forums mtu anafeli

-Kuna Issue ya Ku Extend IPO ya Vodacom Niliileta Mimi Mwenye na Swali Lilitoka.

-Report ya Professor Osoro yote ipo humu
-Report ya Mruma yote ipo humu

-Hotuba ya Waziri wa Fedha ipo humu na hata vijijini huwa wanashikiria viredio na Kusikiliza, Jiji la Dar es Salaam lilivyo Busy lakini hata karikoo huwa watu wanafuatilia Budget.

-Hata hatua za Kuanzisha Biashara zipo humu.

Verdict: Majukwaa yote yana Manufaa Ila kama Bado unatafuta angalau shiriki katika Majukwaa yenye Elimu. Tuache kufuatilia mambo yasiyokua ya msingi Siku hizi kuna

Twitter
Instagram
Snap chat
Facebook
Whatsaap
Linked In
Tango
Jamii Forums

Ukitoa masa 8 ya Kulala unabakiwa na 16 yanaweza yasikutoshe kuvinjari kweye Social Networks mi binafsi Facebook, snap Chat, Instagram, Tango nilisha Unstal katika Simu yangu.

Jamii Forums ni Muhimu sana na Twitter ndo huwa natumia zaidi.

Vijana mnadharirika mwenzio anapata 89% wewe unapata 11% tuwe serious wakuu Mimi nilishawahi Kufanya Interview ya UN tulikua watanzania Watupu Hakuna mtu aliyepatikana Na Mimi Nilikuemo wakatangaza upya kazi. Watanzania Wengi tumesoma Ila Siyo Competent imagine mnafanya interview hakuna anayepita.

Taangu siku hiyo Nikabadilisha Maisha yangu at least kwa sasa Nina vitu Unique.

Tubadilishe Maisha Hakikisha Una Ratiba Maalum Unaweza kuchungulia JF saa Asubuhi, tea time, Lunch time, na night.
View attachment 594060
Wewe huyo leo unaongea haya??
Hakuna Kazi au Ajira yoyote hata ya muda mfupi?
 
Dogo umefaulu huo mtihani nini?

Hongera kama umefaulu.

Graduates wengi wa kitanzania wamekarili masomo ya darasani tu, ukiwatwist kidogo wanaangukia pua.

Nje ya darasani hawajui kitu. Wako instagram na facebook wakishare page za utam unakuja utam unakata. Humu JF wako jukwaa la mapenzi, chit chat sijui na vitu gani.

Kuna wengine wamekuja ofisini kwetu kufanya field, wakaletwa kwangu niwaelekeze baadhi ya mambo, nikawauliza swali nililoliona kwenye usaili wa TRA la Mruma, wote wakasema hawajawahi kumsikia.

Niliwauliza tu Mruma au Urosso mlishawahi kumsikia, wote wakasema hapana, nikawauliza makinikia mliwahi kuyasikia, mmoja tu akasema alisikia kwenye taarifa ya habari ila hakujua ni nini.

Kwa kweli TRA nawapongeza kutoa mtihani ule, naomba taasisi zote za serikali zijikite kusaili vijana namna ile.
Wewe mwenyewe ungefeli. Angalia hata prof. Osoro unasema Usoro. Huoni hata aibu kujifanya vijana hawajui kitu kumbe na wewe walewale.
Haimaanishi kuwa na kazi unaakili kuliko wasio na kazi. Shame on you
 
hahaha kasema Urosso mkuu sio Usoro
 
Noted.

ILa nijuze, ulijuaje kama UN pale wote hamkupita kwny intavyyu
Simple Logic Mkuu, kama mmefanya Interview, then Baadaye unaona Tangazo Re-Advertised kwenye post ile ile ambayo mlifanyia interview.
Hapo hata kama hukupigiwa simu, ni kiashiria tosha kujua kuwa ile position haikupata mtu.
 
Ongeza glass mkuu...
Naona watu mapovu kibao,hyo yote umewagusa hadi kwenye mfupa. Mtu bundle la wiki linaisha siku moja tena limeishia insta,akija JF Yupo MMU,yeye ni udaku tu,kushare udaku tu.
Ukweli unauma.
 
Binafsi Nimeshangazwa na Idadi ya Watu wengi waliofeli huku kutwa Nzima Wakilalamikia Serikali.

Jamii Forum
Kiukweli inasaidia sana kosa la Kiufundi linalofanywa na graduates wengi ni Kushinda kwenye Majukwa kama Lile na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kutwa Nzima au Chit-Chati kuna wengine wanajiita Makapuku. Japo usishinde sana pia humu Mtu kama Maxence Melohata hashindi humu japo ni Mmiliki wa Jamii Forums unakuta Last seen yake two days ago wewe a moment ago.

Inasikitisha Mtihani Ule wa TRA ambao Wote ulikua Jamii Forums mtu anafeli

-Kuna Issue ya Ku Extend IPO ya Vodacom Niliileta Mimi Mwenye na Swali Lilitoka.

-Report ya Professor Osoro yote ipo humu
-Report ya Mruma yote ipo humu

-Hotuba ya Waziri wa Fedha ipo humu na hata vijijini huwa wanashikiria viredio na Kusikiliza, Jiji la Dar es Salaam lilivyo Busy lakini hata karikoo huwa watu wanafuatilia Budget.

-Hata hatua za Kuanzisha Biashara zipo humu.

Verdict: Majukwaa yote yana Manufaa Ila kama Bado unatafuta angalau shiriki katika Majukwaa yenye Elimu. Tuache kufuatilia mambo yasiyokua ya msingi Siku hizi kuna

Twitter
Instagram
Snap chat
Facebook
Whatsaap
Linked In
Tango
Jamii Forums

Ukitoa masa 8 ya Kulala unabakiwa na 16 yanaweza yasikutoshe kuvinjari kweye Social Networks mi binafsi Facebook, snap Chat, Instagram, Tango nilisha Unstal katika Simu yangu.

Jamii Forums ni Muhimu sana na Twitter ndo huwa natumia zaidi.

Vijana mnadharirika mwenzio anapata 89% wewe unapata 11% tuwe serious wakuu Mimi nilishawahi Kufanya Interview ya UN tulikua watanzania Watupu Hakuna mtu aliyepatikana Na Mimi Nilikuemo wakatangaza upya kazi. Watanzania Wengi tumesoma Ila Siyo Competent imagine mnafanya interview hakuna anayepita.

Taangu siku hiyo Nikabadilisha Maisha yangu at least kwa sasa Nina vitu Unique.

Tubadilishe Maisha Hakikisha Una Ratiba Maalum Unaweza kuchungulia JF saa Asubuhi, tea time, Lunch time, na night.
View attachment 594060
asante sana kaka, acha niendelee kujifunza maana kesho nina interview nyingine tra.
 
Dogo umefaulu huo mtihani nini?

Hongera kama umefaulu.

Graduates wengi wa kitanzania wamekarili masomo ya darasani tu, ukiwatwist kidogo wanaangukia pua.

Nje ya darasani hawajui kitu. Wako instagram na facebook wakishare page za utam unakuja utam unakata. Humu JF wako jukwaa la mapenzi, chit chat sijui na vitu gani.

Kuna wengine wamekuja ofisini kwetu kufanya field, wakaletwa kwangu niwaelekeze baadhi ya mambo, nikawauliza swali nililoliona kwenye usaili wa TRA la Mruma, wote wakasema hawajawahi kumsikia.

Niliwauliza tu Mruma au Urosso mlishawahi kumsikia, wote wakasema hapana, nikawauliza makinikia mliwahi kuyasikia, mmoja tu akasema alisikia kwenye taarifa ya habari ila hakujua ni nini.

Kwa kweli TRA nawapongeza kutoa mtihani ule, naomba taasisi zote za serikali zijikite kusaili vijana namna ile.
Ile portal imeeleza category za field husika.

Revenue, tax na customs ilikuwa kwenye category ya trade and industry, hivyo ilitakiwa kujielekeza huko zaidi.

Waliofanya accounts waliletewa maswali ya profession kabisa.

Ushauri:

1. Unapoomba kazi angalia ipo kwenye category gani.

2.Ukifaulu written usibweteke na kujiona unajua kuliko waliofeli kwani unaweza kufeli oral

3. Wakati unatafuta kazi usiangalie ofisi zenye majina makubwa tu kama tra, pspf na nyingine kama hizo kwani ziko ofisi za kawaida zenye maslahi zaidi ya hizo
 
Ntroll umesahau nyumba ya madini quora meeeen kule ni full ma phd ,dectere , ma profesa na wataalam wa mambo mbali mbali
 
Ile portal imeeleza category za field husika.

Revenue, tax na customs ilikuwa kwenye category ya trade and industry, hivyo ilitakiwa kujielekeza huko zaidi.

Waliofanya accounts waliletewa maswali ya profession kabisa.

Ushauri:

1. Unapoomba kazi angalia ipo kwenye category gani.

2.Ukifaulu written usibweteke na kujiona unajua kuliko waliofeli kwani unaweza kufeli oral

3. Wakati unatafuta kazi usiangalie ofisi zenye majina makubwa tu kama tra, pspf na nyingine kama hizo kwani ziko ofisi za kawaida zenye maslahi zaidi ya hizo
kumradhi boss naomba unitajie mfano wa hizo ofisi aisee
 
Ziko nyingi tu, usiangalie majina na majengo makubwa.

Na mimi wakati kutafuta kazi nilikuwa kama nyie ila baadae nikaacha kuchagua ofisi nikapata kazi yenye maslahi kuliko walioenda kwenye majengo makubwa.

Kazi ni za ajabu sana. Nyie mnataka muingie tra ila kuna watu tra wanatamani waondoke.

Ushauri:

Usikate tamaa katika kutafuta kazi.
Mimi nilikaa mtaani miaka 2 ndo nikapata kazi ila nilifanya interview za kutosha utumishi, Sumatra, nssf na zote nilienda oral ila kujuana kulikuwa juu sana ingawa sasa naona kunapungua.
 
poa mkuu
 
Back
Top Bottom