Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,111
- 3,975
Hivi Madebe ndiyo Kidege?
Samahani mkuu kunaswali la nyeto naomba niulize mkuu ila usinipaushe kama ulivyompausha huyo jamaaLazima tuishi , hata huko Palestine watu wanamisuko suko ila wanazaliana na kupiga nyeto
Mbona nilikuwa namwona jamaaa akili nyingi sana??!!!Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe.
Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa.
Unammtoa mwanamke mzuri, kwenye shida unamweka mjini ila wewe unashindwa kujinasua kwenye tabu na kuendana nae na wakati?
Ni aina ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea , ni kweli kamtoa bidada mzuri mbali ,,ila lenyewe lipo kama goigoi tu , linafuga kitambi uchwara cha pombe chafu na madevu uchwara 🚮
Ni mwanamke gani mzuri kama unaweza mfanya ajisimamie na wewe ukabaki kwenye uchafu na umaskini akakuvumilia, wajanja wa mjini wasikuchapie?gademitt.
Hawa wapumbavu kama madebe ndio wanasababisha tuna laumu wanawake bure kmmmmk.
Mapapai twendeee, michuz ya pweza ewalaaah, mafenesi! 😂Aliyeandika huko twitter kawajua hawa jana.
Mwanamke gani atakubali kila siku kufua boksa zenye kinyesi?
Anataka kwenda mjini kwa jina la binti.Mapapai twendeee, michuz ya pweza ewalaaah, mafenesi! 😂
Sema jamaa mtata tu dem wameshaachana lakin kila siku anampost hadi leo hii kampost
Yule mshkaj msanii mkubw tu pengine kulko chanuo. Sema kakwama sana kwenye muundo wa series zake. Yan mambo waliyofanya kina mkojani wakapotea na yeye anarudia yaleyale.Anataka kwenda mjini kwa jina la binti.
Mkuu ishiwa hela ya kuhonga ila usiishiwe ya biaHahaha nipo poa bwashee, bia tu hapa kwa mstari
Tz issue kubwa ni mambo habari za wasaniiMungu ihurumie JF
Ukikorofishana na mkeo/demu wako tegemea neno lolote lenye ukakasi.Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe.
Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa.
Unammtoa mwanamke mzuri, kwenye shida unamweka mjini ila wewe unashindwa kujinasua kwenye tabu na kuendana nae na wakati?
Ni aina ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea , ni kweli kamtoa bidada mzuri mbali ,,ila lenyewe lipo kama goigoi tu , linafuga kitambi uchwara cha pombe chafu na madevu uchwara 🚮
Ni mwanamke gani mzuri kama unaweza mfanya ajisimamie na wewe ukabaki kwenye uchafu na umaskini akakuvumilia, wajanja wa mjini wasikuchapie?gademitt.
Hawa wapumbavu kama madebe ndio wanasababisha tuna laumu wanawake bure kmmmmk.
Naunga mkono hojaMadebe Lidai yule anajiita Nabii Mswahili? Angeachana tu na yule mwanamke afanye mambo yake. Kwenye vita ya maneno kati ya mwanamke na mwanaume tena mbele ya jamii mwanaume hajawahi na hatawahi kushinda hata siku moja. By the way jamaa ni mtu mzima sana afu uyo Demu naona ni kama sampuli za Gen-Z. Tunarudi pale pale, oa mwanamke unaemmudu. Ishi nae vizuri timiza wajibu wako vizuri kama Mume na Baba wa familia. Narudia tena; Ndoa hua ni ya mwanamke, akiamua iwepo itakuepo, akiamua isiwepo hata ufanye nini haitokuepo, utaishia kudhuru na hata kuua uende jela bure. Cha kushangaza kwenye vita ya mwanamke na mwanaume hata wanaume wenzio wanakukataa wanakaa upande wa mwanamke. Haya mambo ni ya kuachana nayo tu, jamaa anakosa washauri wazuri.