Labda umewajua juzi! Alikua anamminya asiigize demu akawa kachakaa baada ya kuachana binti alikosa hadi pakukaa ila akapata nafasi ya kuigiza ndo hivyo unavyomuona anang'aa siku hizi.Kale kajamaa ni kipumbavu, kamempa chanuo nafasi ya kuonekana ila kenyewe kakajisahau na kubaki na upumbavu wa mitara na ujinga ujinga wa kiswahili tu🚮
We nae mpana wewe.Aliyeandika huko twitter kawajua hawa jana.
Mwanamke gani atakubali kila siku kufua boksa zenye kinyesi?
Kama shuka la amanaWe nae mpana wewe.
11 namba unaweza vita ?Unataftaga Kiki kipuuzi sana.
Na yenyewe yana Mavi sas😂😂Kama shuka la amana
Hivi ni kweli huwa nyaa inatoka au uzushi?Na yenyewe yana Mavi sas😂😂
Huko mjini kwenu mazeee kila anayetoka kijijni akija anakuwa selebriti.Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe.
Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa.
Unammtoa mwanamke mzuri, kwenye shida unamweka mjini ila wewe unashindwa kujinasua kwenye tabu na kuendana nae na wakati?
Ni aina ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea , ni kweli kamtoa bidada mzuri mbali ,,ila lenyewe lipo kama goigoi tu , linafuga kitambi uchwara cha pombe chafu na madevu uchwara 🚮
Ni mwanamke gani mzuri kama unaweza mfanya ajisimamie na wewe ukabaki kwenye uchafu na umaskini akakuvumilia, wajanja wa mjini wasikuchapie?gademitt.
Hawa wapumbavu kama madebe ndio wanasababisha tuna laumu wanawake bure kmmmmk.
😂 Eeeh wanakuja kulujibu.Hivi ni kweli huwa nyaa inatoka au uzushi?
Sawa Lloyd snut😂 Eeeh wanakuja kulujibu.
Zamani ephen alikuwa mpole, very innocent kwenye threads nyingi mpaka anatetewa, nowadays weka mbali na watoto.Ndoa ina mengi! Wanaume wa Dar lolote linawezekana.
Ndoa yenyewe ilikua ya mitala
Sababu ni zilezileZamani ephen alikuwa mpole, very innocent kwenye threads nyingi mpaka anatetewa, nowadays weka mbali na watoto.
Mwehu wewe 😀😀Sababu ni zilezile
Maendeleo ya teknolojia, Support nzuri kutoka kwa serikali.
Hana hela hata muonekano wake upo kinguruwe nguruwe tuLabda umewajua juzi! Alikua anamminya asiigize demu akawa kachakaa baada ya kuachana binti alikosa hadi pakukaa ila akapata nafasi ya kuigiza ndo hivyo unavyomuona anang'aa siku hizi.
Jamaa ni wale watu awe na hela asiwe nazo yeye ataonekana tu mchafu.
Jamani! Kwamba hana hata ya kubadilisha mboga?Hana hela hata muonekano wake upo kinguruwe nguruwe tu
Ongezea steki kidogo.Labda kama umemfaham madebe kwa hili sekeseke linaloendelea saizi,.
Ila kwa tunaomjua zamani pamoja na mateso aliyokua anayapitia chanuo kiukweli wacha aweweseke Tu saizi