Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Hapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
Ordinary men ndio haohao shouting, kwa mdomo ulionao utamegwa utaachwa sn, tuliza kipochi manyoya hicho.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo alichofanya Neema ni unexplainable/unjustified especially ni kitendo kinachoonekana alikipanga na sio ghafla tu.
Yeye sio wa kwanza kuwa cheated and she will never be the last.Huenda ana matatizo ya akili.
You never know maybe ata yy alishawahi ku-cheat kwenye moja ya mahusiano yake.Problem ya binadamu tupo selfish sana.
Huyoo mumee falaa unatom a....MARAFIKI wa gfrien d wako huna adabu imekuwa chaki
 
Uyo Grace ni mpuuzi sana. Na wewe mleta mada unahalalisha kabisa eti mwamaba kapata alichostahili, mtu amuue mwenzie then uchekelee uyo bidada nae apate adhabu anayostahili mpuuzi kabisa.

Kwani kupendwa ni lazima, eti amewekeza kawekeza nini?? Nyapu au ?? Grace angekua karibu adhabu ningempa mi mwenyew kwa ujinga alioufanya.
Mungu atunusuru wanaume kwakweli tusioe mijitu yenye roho ya kishetani kama grace mpuuzi mmoja.
 
HII FAMIILA YAOINAONEKANA VIBOR...SHUTA SANA WAWE NA ADBU NA MIOYO YA DADA ZETU WENGINE UJINGA HATUTAKI.ONA SASA WANAZIKA MKAAA
 
Mbili ni nyingi,atoe moja tu kana ataweza,maana anaenda kunyongwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ANYONGWI WEWE HUYU AKIWA NA WAKILI MZURI AMEKAA SANA MIAKA MITATU

KINGINE WAKAMPIMEHUU UKOO UMRKUWA NA SHIDA ZA VICHAA SANA KAMA WAKIMKUTA MTAMBOOO SHUHULI

UNAJUA WANAUME MNAKIMBILIA TU UCHI KUNA UKOOO UNA NYOTA ZA

UMALAYA
WIZI
UTAPELI
UFUR...
UCHIZI
UONGO
NA I ZINGINEZO
MSIPOCHUNGUZA MTALIA MZIGO USHATINGA NDAN
 
ANYONGWI WEWE HUYU AKIWA NA WAKILI MZURI AMEKAA SANA MIAKA MITATU

KINGINE WAKAMPIMEHUU UKOO UMRKUWA NA SHIDA ZA VICHAA SANA KAMA WAKIMKUTA MTAMBOOO SHUHULI

UNAJUA WANAUME MNAKIMBILIA TU UCHI KUNA UKOOO UNA NYOTA ZA

UMALAYA
WIZI
UTAPELI
UFUR...
UCHIZI
UONGO
NA I ZINGINEZO
MSIPOCHUNGUZA MTALIA MZIGO USHATINGA NDAN
Yes mkuu, huyu anakula mvua chache kwa mazingira ya kesi yenyewe. Na atatakiwa kupatiwa sana msaada wa kisaikolojia maana
 
Kama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani

Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
Mama D !!Yaan huwa nazikubali sana comments zako.Hao ni mashetani.
 
Yes mkuu, huyu anakula mvua chache kwa mazingira ya kesi yenyewe. Na atatakiwa kupatiwa sana msaada wa kisaikolojia maana
SANAA lazima asaidiwe
1)anwaza anapatawapi hela ya kupanga
2) majirani wataampokeaje
3) akitoka KILEKIWANJA Cha urithi kitakuwrpobadooyaan
 
Ni kweli mabinti kichaga wanaolewa sana. Wanawake wa kichaga wanajua kuonyesha thamani ya mahusiano wanapokuwa bado ni wapenzi au wachumba. Wanajua kustruggle na hivyo wanakuwa siyo wapiga mizinga kama waschana wengi walivyo. Mtoto wa kichaga akikupenda atakununulia zawadi kadha wa kadha kwa hela zake. Yanayotokea kwenye ndoa ni ya kusikitisha sana.
Walakini si wachaga wote, wapo ambao ni wanawake wema maisha yao yote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa watu wako kimipango zaidi. Wanajua jamii yao haikubaliki ndomaana unapewa hizo unazoziita "zawadi" hapo anakuset ukae kwenye lensi mbinuko. Hizo "zawadi" mwenzako anajua atazitudishaje hapo baadae (hakuna cha bure dunia hii).

Mi kuna rafikiangu yy ni mchaga pyua lakin aliwahi kunitamkia hawezi kuthubutu kuoa huko kwao.

ila nachowapendea jamaa wanajitambua mapema sana na wako focused sana kwenye maisha ukilinganisha na jamii zingine na hawaendi kwa hasara.
 
SANAA lazima asaidiwe
1)anwaza anapatawapi hela ya kupanga
2) majirani wataampokeaje
3) akitoka KILEKIWANJA Cha urithi kitakuwrpobadooyaan
Uko sahihi kabisa. Sijui kwanini vijana wa siku hizi wengi wamekua wa ajabu hivi. Wengi wanamnanga zungu na kumponda neema ila hapa wengi wanalelewa hawasemi hilo. Itawagharimu sana hii. Mtu anawekeza kwako akili, upendo, muda, uchumi, afya, etc then utegemee wote watakua wapole tuu wamuachie Mungu? Hapana
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
MSIHUZUNKE SANA HUYU BWANA KAMA.ASINGECHOMWA MOTO KWA KABILA HILI LA.WAMACHAME ANGECHEZEA VISU VYA KUTOSHAA MBELE YA SAFARI

WAMACHAME WANA WIVU SANA
WAKIKUKOSA HUKOOO OLEEE OLEE OLEWAKOOOO UZIKAMATEE HELAA
YAANI WANAKUMALIZA.MAKAVUU BILA CNDM..HAWA KUKUWEKEA SUMU.UENDE NIACHIE MALI DK SIFURI

SO MSIHUZUNKE SANA AMEPUMZIKA ALIPOSTAHILI ANGEPONA NA HILI VISU VINGEMHUSU SANA HUMO NDAN KWAKR

RIP ZUNGU
 
MSIHUZUNKE SANA HUYU BWANA KAMA.ASINGECHOMWA MOTO KWA KABILA HILI LA.WAMACHAME ANGECHEZEA VISU VYA KUTOSHAA MBELE YA SAFARI

WAMACHAME WANA WIVU SANA
WAKIKUKOSA HUKOOO OLEEE OLEE OLEWAKOOOO UZIKAMATEE HELAA
YAANI WANAKUMALIZA.MAKAVUU BILA CNDM..HAWA KUKUWEKEA SUMU.UENDE NIACHIE MALI DK SIFURI

SO MSIHUZUNKE SANA AMEPUMZIKA ALIPOSTAHILI ANGEPONA NA HILI VISU VINGEMHUSU SANA HUMO NDAN KWAKR

RIP ZUNGU
Mimi sijapenda adhabu ya zungu kwa kweli. Japo ni funzo kubwa sana tumepata. Ila huo ujasiri wa neema unaogopesha sana. Unatishaaaaa....
 
Yaan kuna watu wana hasira na watu wasiowahusu hata kdg. Na hapo dada zake kibao wanamegwa wanaachwa. Na kaona ndo dili sana ama? Wooiii, tutaendelea kuwakaanga
Woiiiiiiii
mtuchemsheee Kwanza hi kukaangana mojakwamoja ...anawaona
 
Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.
Watakuja wananzengo waseme wewe ni Last Born , ila Mkuu ulikuwa unaenda kushitakia kwa mama

Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom