funny names in jf!

funny names in jf!

avatar19636_1.gif
 
Bubu ataka kusema. Hili nalo safi sana.
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
yaani nimesahau biology kabisaa,hivi unamtambuaje chatu biolojia yake?

Mkuu ukitaka kumjua Chatu Dume inabidi uzame kwenye mambo ya Biology, ngoja nikusaidie kidogo ukitaka kumjua Chatu Dume Gender yake kuna internal organs mwisho kwenye mkia kuna mwiba chini ya mwiba kuna PIPE huyo ndio Chatu Dume, Ahahahaha!!
 
<p>

</p>
<p>&nbsp;</p>
athante kwa maelekezo bosi wangu.ila hapo kwenye internal organs ndo thjaelewa.au unamaanisha tu chini ya mwiba wa mkiani?
 
Ulikuwa wapi preta, nimekumiss

Off the topic, kwanini hujam-pm.
Kumbuka Preta is single but occupied, utapigwautoke manundu, huoni alivyopendeza kwenye avatar yake, ukigusa mkong'oto
 
Off the topic, kwanini hujam-pm.
Kumbuka Preta is single but occupied, utapigwautoke manundu, huoni alivyopendeza kwenye avatar yake, ukigusa mkong'oto

Ndo mana roho ilinipasuka nikasahau topic, nikasahau kama kuna PM.
 
Back
Top Bottom