Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #161
mmmhhh!Kumbe ilikuwa ngoma tofauti halafu unataka kumsababishia FP ka blood pressure kabla budget haijasomwa??
Next time utuwekee vizuri bwana hata kama hatujua kusoma picha tusiondoke mikono mitupu au kuwazulia wakubwa wenzetu balaa....
Babu DC!!
unakumbuka wale waliokuwa wanaomba ushauri wapi wakavue samaki na kusoma vitabu na kuimba mapambio wakiwa fungateni?Na umeshatambikia au bado??
Kuna watu hawajahi kulijua hata hilo fungate maana yake ni nini...
Babu DC!!
huo mfungo ndizi ndo tutajaa humo humoha haaa, tunajiandaa na mfungo, lol!
Mkwe, kikombe alichonipa baba nisikinywe?? Khaaaa!!Apple:I look like a human heart.
Mango:I look like a stomach.
Grapes:I look like eyes.
Banana:I don't like this game..
teh teh tehhhhhhh....
cc. Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V, zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer..........:car:
ha haaa, mkwe unaweza pishana nacho tu, lol!Mkwe, kikombe alichonipa baba nisikinywe?? Khaaaa!!
mmmhhh!
kwa kweli karibia ntakata rufaa, hamuwezi mkawa mnaniacha kwenye mataa kiasi hiki mkubwa mwenzeno, KULIKONIIIIII!
ndo kusema na wewe umeachwa kwa mataa mkubwa mwenzangu?Kwani ni wewe peke yako mkubwa mwenzangu??
Babu DC!!
ndo kusema na wewe umeachwa kwa mataa mkubwa mwenzangu?
ha haaa, haya ngoja tuendelee kuwachwa kwa mataa....Ndiyo hivyo mkubwa mwenzangu...lol!!
Babu DC!!
hahahhaa Juma Mhuni a.k.a Kikoja, Mohamedi Mtoi unakumbuka tulikula hizi ndizi kule nyuma porini wakati tunakata majani tulipokua Shambalai Secondary? Ila ulikua unapeleka Mpwa
afadhali hujayaona binamu.....
mimi mzima binamu, hofu kwako
hili tunda linaitwaje mtani?