Funguka

Hahaahahaaaa wewe umefunguka acha kunisingizia
Tena Dena Amsi huyu mumeo kimeo Mr Rocky anataka kuongeza wake wengine.....
Anawataka Kipipi na sweetlady na ameshawatongoza wanasuasua kumkubalia coz wanamjua siku hizi kawa penda penda na anaogopa utamfanyia kama jamaa wa TEMEKE lol
 
Last edited by a moderator:

Mie hata nashindwa kapatwa na nini labda ukae nae kwenye vikao vyenu umuulize unifahamishe
 

Kaizer, njoo uone AshaDii na Asprin wanajaribishia shemeji shemeji huku wanazima taa

Hivi Kongosho na Sasa wewe R' nani kakufundisha unoko? Mimi na ODM dam dam hayo mambo hatuwezi kabisa, mie penda sana hommie wake siwezi banjuka na shem bana! Ondoeni wasi wasi!

R' nilivyo ona love inatetereka nimerudi haraka sana. Me miss you too.
 

Ngakumiss sana AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Jamani wewe khaaa! Kwa uchonganishi na majungu umeshindikana.


Wifi AshaDii shikamoo afu nimekununia
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kongosho na Sasa wewe R' nani kakufundisha unoko? Mimi na ODM dam dam hayo mambo hatuwezi kabisa, mie penda sana hommie wake siwezi banjuka na shem bana! Ondoeni wasi wasi!

R' nilivyo ona love inatetereka nimerudi haraka sana. Me miss you too.

Sijasema kitu, nimetoa angalizo tu

Mmmmh! Makubwa haya kunani Kongosho?

Hebu angalia mida walokuwa wanajibizana! mida ya morning glory - Source King'asti
Afu hakukuwa na taa hata moja inawaka, wao wawili tu?

Baba watoto naomba usimkize Kongosho... Sijui nan kamharibu, ananusa visivyo na harufu. Lol

Sina wivu wala nini, Asprin ni exyz, labda BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…