Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika, cc Elizabeth Dominic upo? tafuta mume ata hawara tu mamaa, maana huzitendei haki ndiiii....
shindwaaaaaa.... tena ulegezwe kunako zako nyeti...
me wangu laazizi... baba kijacho ni C6 tu. wengine wabeba maua
mmmh! ngoja niende kwa fundi Bagamoyo au Kwa Njeka azipake grisi ili skrubu za huyu Giovanni zilegee hadi zidondoke
Mie nahisi sihitaji kumtaja.
huyo atakuwa ni mume wa mtu a.k.a sugar daddy!!!!!
Umeniita nungayembe @C6? Asante...umeona lakini Nicas Mtei na mukeo wanavyojenga mtandao lakini? STUKA
Shhhh! Utaunguza picha. Kuna mtu nampa mahope nikimaliza kumchuna beach plot kigamboni nasepa.
ngoja nisubiri kama nitatajwa kwanza
Ahsante sana mke mwenza King'asti, mie pia wajua vile nnavyokupenda pamoja na shemeji langu kipenzi Paw! Wifi AshaDii ndio nampenda kuliko nitonye lol.
mtandao gani?
ntafurahi kweli my daddy... hows mummy doing
Sponsored By Lusinde.