zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Lovely sis umesahau na jiko la mchina na sufuria tatu, zile sahani 4 pia hujataja na vijiko 6 lol.mimi namiliki stuli nne za mninga na meza yake, simu aina phillips na cherehani aina ya butterflower!!!
....namiliki majini..kama mnataka ..MIAMimi ni bonge la fogo na utajiri wangu naoumiliki ni hii zawadi ya uzima nilopewa na maulana! Mengine yote ni ubatili mtupu!!!!
Mimi ni bonge la fogo na utajiri wangu naoumiliki ni hii zawadi ya uzima nilopewa na maulana! Mengine yote ni ubatili mtupu!!!!
mimi namiliki stuli nne za mninga na meza yake, simu aina phillips na cherehani aina ya butterflower!!!
Wasiliana na msemaji wa Ikulu, yatakuwa yanahitajika huko!....namiliki majini..kama mnataka ..MIA
Siku hizi kanunua chemli! Nicas Mtei fanya uniletee hirizi mbili.Hauna kibatari?
...hahahahaha..kule yako kibao...tena wako karibu na Bahari...Wasiliana na msemaji wa Ikulu, yatakuwa yanahitajika huko!
Siku hizi kanunua chemli! Nicas Mtei fanya uniletee hirizi mbili.
Me namiliki wanaume watano.
Na wote nawamudu.