Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Kwenye suala la kutuma link ndio bado sina ujuzi nalo mkuu!
Hamna hata button hata moja ina respond baada ya hiyo message kuja
Kwenye suala la kutuma link ndio bado sina ujuzi nalo mkuu!
Hamna hata button hata moja ina respond baada ya hiyo message kuja
Hiyo simu tecno d3 bado unayo ya kutoa pattern. Nlikutana nayo moja ikatoka
brother simu hizo zinatoka lock kwa box tena box maalum sio kila box. sio kama mediatek. ni zenye chipset ya spreadtrum
Spreadtrum - Wikipedia, the free encyclopedia
Kuna Tecno D3 clone ikiwaka inaandika BML kuna mtu kaniletea kafanya too many Pattern attempts sijui aliiba au la ila nkaniomba nimpe msaada maana anadai yeye email aliwekewa hivo haijui hivo nimpigie factory reset...
Kitu cha kushangaza hii simu haipigwi Factory reset kwa combination ya hizi keys Home,volume up/down na Power off button
Yaani ikibahatika inakuja triangle yenye error au inakuja menu inakwambia "Phone test"
Hii simu naweza sema ni komesha ya wezi maana haipigiwi factory reset kwa njia za juu juu
Ulijaribu kutumia miracle box?Kuna Tecno D3 clone ikiwaka inaandika BML kuna mtu kaniletea kafanya too many Pattern attempts sijui aliiba au la ila nkaniomba nimpe msaada maana anadai yeye email aliwekewa hivo haijui hivo nimpigie factory reset...
Kitu cha kushangaza hii simu haipigwi Factory reset kwa combination ya hizi keys Home,volume up/down na Power off button
Yaani ikibahatika inakuja triangle yenye error au inakuja menu inakwambia "Phone test"
Hii simu naweza sema ni komesha ya wezi maana haipigiwi factory reset kwa njia za juu juu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] watu na simu zao za wizi