Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

Mara nyingi matukio kama haya huambatana mtafaruki wa mapenzi.Si ajabu aligundua mkewe kimapenzi anatoka kimapenzi na rafiki yake au ndugu yake wa damu
 
ukisikia mwanaume ndio huyu sasa ukiwa na roho ndogo huwezi kufanya aliyofanya huyu baharia
Unamsifia eti mwanaume wakati huyo ni mjinga tu! Hukmu ya mtu kujinyonga ni sawa na kuwa ameidhulumu nafsi yake!
Analo la kujibu mbele ya muumba!! Matatizo kwa mwanaume ni kipimo cha akili na uvumilivu.
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…