Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
nina simu yangu ya Nokia x6 naipenda sana hii simu yangu ni origina tatizo nilichelew ku update fame ware yake imejilock kabisa haiwaki tena nafikiri mpaka kuiflash nitashukuru kama utanisaidia hii kazi naipenda san simu yangu,utanifanyia kazi ndio nikulipe hela ikikataa tutagawana hasarabut hope utaiweza.nipo posta DSMNo need to hurry,
when unlocks available i will contact you.
coz i have all your phone details into my online ordering system.