Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Guys now tunarepair deadboot for htc,samsung,sony and other windows and android based fones with qualcomm CPU.
 
LG KP500 touch screen nilibadilisha memory card ikaanza kustack na haiwezi kufanya kaz kama mwanzo ktk screen je ni sababu ya virus za ktk memory card? how will i do wth it???
 
Mkuu, asante kwa taarifa.
Mimi nina Iphone 4 yangu nilipatiwa toka Canada.
Nimezunguka sehemu nyingi Dar wananizingua tu, mara ku-unlock itachukua siku tatu, mara kifaa gani sijui hatuna. Mwingine naye nikapelekwa kwake nikamwachia simu si alikaa nayo wiki mbili karibia tatu eti bado anasubiri kuna foleni ktk system ya ku-unlock toka kwa service providers online.
Alipokuja kumaliza bado simu haifanyi kazi na pesa amenilia. Shit!

Simu nimeamua kuiacha mwanagu anachezea tu.
Inbox me your price ili niangalie kama naweza kumtuma mtu ailete simu hiyo kwako LAKINI nitakulipa ukishaifanya ifanye kazi (hakuna cha kukulipa pesa ya kugundua tatizo wala ya kutanguliza) - I will pay you malipo yote ukiifanya ifanye kazi.
Huyo fundi mjinga amenilia pesa halafu simu bado iko vile vile, kwa sasa nafuatilia anilipe na anahangaika kutafuta pesa ya kunilipa.

Utanisaidiaje?

mkuu tupo na volunteer mmoja hapa ofisini kwetu, yupo na Iphone ila aliisahau kuiunlock, sasa amefika bongo amejaribu ameambiwa it is only possible kuinulock akiwa UK tuu na sio pengine, je unaweza kuifungua ili aweze kuitumia hapa bongo?
 
Hakuna fundi simu wala fundi saa na wala fundi dishi wote ni boshen tuu kama kweli kuna fundi basi ni kinyozi tuu tena hapo kwa hapo
 
Mkuu htc desire yangu imegoma camera na video ukutaka kutumia cam au video inazima halafu inawaka nimepeleka kuflash imeshindikana ila kuna fundi mmoja amesema ni sensor zimekufa ila hazipatikani je unaiweza?
 
Mkuu htc desire yangu imegoma camera na video ukutaka kutumia cam au video inazima halafu inawaka nimepeleka kuflash imeshindikana ila kuna fundi mmoja amesema ni sensor zimekufa ila hazipatikani je unaiweza?

Kama ulifanya flashing na ikagoma, i cant help. Coz na mimi nafanya software tu. Ths means ningeflash as well.

So kama alisema haipatikani that id true.
I am sory i dont do hardware.
 
mkuu tupo na volunteer mmoja hapa ofisini kwetu, yupo na Iphone ila aliisahau kuiunlock, sasa amefika bongo amejaribu ameambiwa it is only possible kuinulock akiwa UK tuu na sio pengine, je unaweza kuifungua ili aweze kuitumia hapa bongo?

Je hiyo iphone huko uk ilikua inatumia network gani??
Labda o2,tmobile,orange,3 hutchson etc

Ni lazima kujua hizo infos ili kuweza ku fanya unlocking.
Pm me imei no of that iphone for network checking.
 
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES

UNLOCKING ANY GSM PHONES



  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY



UNLOCKING ANY GSM MODEM



  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE


FLASHING ANY GSM PHONE



  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY



JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com
....betri original za i phone 3 mnazo ? bei ikoje....mnapatikana pande zipi kama vipi niwazukie...
 
Yupo fundi wa ukweli ambaye ali ni anlockia sim yangu iPhone4s nili tumiwa kutoka Swidden my no 0756557300 ntak elekeza yupo Arusha
 
Fundi niliformat memoli kadi yangu ya simu ya sumsung bahati mbaya je unaweza kurudisha picha zilizigormatiwa kwenye iyo memory card?
 
Zipo bei ni 25000
Tupo kariakoo mtaa wa uhuru jengo ambalo zamani lilikua kanisa,
 
Back
Top Bottom