mkuu nimefanya yote hola au nikaiflash simu?reboot is last option. after deletion user data and reset and wiping user user data.
Mkuu nina huawei U8650 inatumia line ya Tgo je waweza kui unlock?
mkuu nimefanya yote hola au nikaiflash simu?
habari fundi, simu yangu Nokia 2730 kila nikitaka kwenda kwenye uwanja wa kuandikia msg au kusoma inbox inakataa inasema "message storage memory not ready" nisaidie tafadhali
Hivi unaweza kufanya maujanja yoyote ili blackberry torch isitumie package na niweze kuona youtube?
Asee nina express music yangu nokia 5130 nataka software ya zamani íi mpya niliwekewa baada ya kuwa inastack kila wakati ikiwashwa. Sasa nikaenda kuflash imekua nzito na amejaza ma application ambayo siyataki...
software mpya kivipi?
ulifanya upgrade from old OS to new one?
if yes dont try to downgrade, you will brick your phone
hii software kimeo nikidownload kitu inaandika no certificate in phone or sim. Mfano mzuri ni ucbrowser. Halaf siwezi hata kupokea comfigaration inaandika hazisuport. Nimejaziwa appl. Mpaka kero. Nataka software ya zaman naona hii ni kimeo na simu ni mzito
try to set time to correct current time.
but if you downgrade from that version your phone will get bricked security area,
and imei will become 12345???
Software ya zaman ilileta mushkel ndio nikaenda kuflash. Nimeset up to date time. Na nataka kufuta hizi app ambazo situmii. Kwanin siwez kuweka application kama uc web browser. Embu ntafutie solution maana raha yake imepotea.
yes its possible for 10 working days cost is 90 usd place order here
done i am waiting.....
hi sorry order processing failed,
i cant unlock your phone for now we have to wait more.
check mail for details
sasa mimi niatafanye na hili toy sasa?
au ni lini itakua tayari??
inakera sana