Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Hi. Nina htc touch pro 2 ni window mobile kuna uwezekano wa kuiweka katika mfumo wa android?

Ukitaka details zaid niambie
 
Fundi nina iphone 3gs
nataka ku upgrade to 6.1 ili niweze kuweka whatsapp, facebook, etc,

itakua gharama kiasi gani?
 
Window mobile 6.5 professional
os 5.2.21889
MSM7600-528MHZ

Yep nimekusoma boss,
but nahutaji model halisi ya htc yako
najua kwamba htc touch pro2 in model nyingi kama vile RHOD100, RHOD300_tilt2, RHOD500, RHOD400 etc
je simu yako ni aina gani ktk hizo juu?

kupata hiyo details toa battery then soma ktk label.
 
Fundi inakuwa Blackberry 8520 inapo display rangi nyeupe na maneno haya "reload software 552"?????? Samahani nisaidie

Toka Burton sat shop.
 
nina camera aina ya SONNY haisomi vzr memory card, nikiiweka inanambia memory card locked au re-insert memory card, hili tatzo limekuwa likijirudia mara kwa mara! unaweza kuirekebisha?
 
nina camera aina ya SONNY haisomi vzr memory card, nikiiweka inanambia memory card locked au re-insert memory card, hili tatzo limekuwa likijirudia mara kwa mara! unaweza kuirekebisha?

hapana kaka, i dont dig cameras.
 
je unaconnect disabled iphones to itunes?

hiyo ni rahisi just connect it to itunes and restore it.
ukishindwa nitafute.

Tupo kariakoo mtaa wa uhuru karibu na Akiba Commercial Bank au karibu na Valentino hotel
ukifika piga simu 0715353108, 0756144060 nakuja kukuchukua ulipo.
 
poa fundi bt bei ni kiac gan nijipange wng?
 
hi nina modem yangu model K3565-Rev 2 yenye IMEI:359574035624031 inatumia mtandao wa vodacom tu nisaidie ku unlock nipe na gharama zako kwa remote na pia kwa kukufikia mahali ulipo nielekeze
 
hi nina modem yangu model K3565-Rev 2 yenye IMEI:359574035624031 inatumia mtandao wa vodacom tu nisaidie ku unlock nipe na gharama zako kwa remote na pia kwa kukufikia mahali ulipo nielekeze

modem hizo sio locked,
just install join air or airtel zte dashboard then u can use it with any network.
 
nimefanikiwa installation to my laptop lakini haiwezi kuditect connection napaswa keset kitu gani na wapi. ahsante

instal vodafone dashboard as well,
but baada ya kuweka modem exit vodafone dashboard then fungua join air.

configure join air settings
apn = internet
dial number = *99#
save and set as default conncetion

ukishindwa njoo na laptop yako

Tupo kariakoo mtaa wa uhuru karibu na Akiba Commercial Bank au karibu na Valentino hotel
ukifika piga simu 0715353108, 0756144060 nakuja kukuchukua ulipo.
 
Back
Top Bottom