sirleondavid
JF-Expert Member
- Sep 30, 2012
- 377
- 25
- Thread starter
- #381
je kama simu ni ya wizi?
send back to owner.
je kama simu ni ya wizi?
buddy ur challenging me, how can u install ios to none apple phone?Simu OS ni android 4.2.2 nataka uniwekee WP au iOS7
kiukweli simu huflashiwa tu, ukimuuliza maswali memngi si atasepa. wewe ukipeleka hela bank huwa wanauliza umeiba au umepata wapi? wanapokea na kuweka tu. the same appliesMnajihakikishiaje cm inayokuwa flashed co Ya wizi, Au Kwa kuwa unaletewa hela Basi co ishu
kiukweli simu huflashiwa tu, ukimuuliza maswali memngi si atasepa. wewe ukipeleka hela bank huwa wanauliza umeiba au umepata wapi? wanapokea na kuweka tu. the same applies
Fundi, simu yangu aina ya samsung note 2 N7100. Niliingia nayo kwenye sweeming pool bila kujua. Nilifanya juhudi ya kuikausha, siku ya pili ilianza kuwaka lakini screen ikawa haionyeshi kitu. Nikaipeleka kwa fundi ili waisafishe fundi akasema simu imekufa, eti haifai tena. Naomba kujua kama unaweza kuirudisha maishani tena.
nna mpango wa kununua huawei ascend y300 tigo, nataka kuiunlock iwe inatumia laini zote, vp inawezekana?? na ni ho much???
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
ALSO UNLOCKING PHONES BY IMEI
UNLOCKING ANY GSM PHONES
- IPHONES
- NOKIA
- SAMSUNG
- ALCATEL
- BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
- ZTE
- HUAWEI
- VODAFONE
FLASHING ANY GSM PHONE
- IPHONES
- NOKIA
- SAMSUNG
- ALCATEL
- BLACKBERRY
JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS
CONTACTS
0715353108
0756144060