Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Je ku unlock LG p790 tg T-mobile imetoka USA, itakuwa kiasi gani?

Sent using wireless by wire

ukiweka sim card ya bongo kama vile airtel, au voda au tigo inakupa message gani?
kama inakupa insert unlock code it will be done.
 
Kaka mkuu kuna jamaa anataka kuniuzia iphone 4s, je ita support whatsapp,fb, na twitter? Kwan iphone 3g haisupport fb wala whatsapp
 
Iwe iPhone 4s original.
Pia mimi naweza kuweka whatsapp hata ktk iPhone 3G.
 
Nina samsung omnia 7 window 7 phone,nataka ku upgrade to window 8 au hata 7.8 au niweke android 4 kabisa ikishindikana basi hata bada os,je inawezekana?
 
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES

UNLOCKING ANY GSM PHONES

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

UNLOCKING ANY GSM MODEM

  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE

FLASHING ANY GSM PHONE

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com

Mkuu nina samsung galaxy q inatuma international msg kuonyesha inatumika wapi imekuwa n kero sasa kila saa inakatwa hela je nifanyaje ni brand ya t mobile.
 
Nina samsung omnia 7 window 7 phone,nataka ku upgrade to window 8 au hata 7.8 au niweke android 4 kabisa ikishindikana basi hata bada os,je inawezekana?

hi,
this can be done to 7.8
i am preparing materials for this and i will pm u.
 
Kumbe serikali ikitaka kuwapata wabaya wake inaanzisha huzi kama huu na inaweka fundi mbona mtamwagika wengi kwakuwa watanzania tunapenda vitu vya ujanjajanjaaa kununu simu za mikononi mwisho wake inakuzimikia mkononi!!Ila sirleondavid nakukubali kwa mwesi,hatuendi tena ameishakuwa re used!msalimie yahaya mapua!tapeli wa mjini!
 
teh teh hao ndo wakongwe wa hili gemu.
wenyewe tuna waita ma legendary.
 
Wireless ya iphone 4 inakua inactive na haiwi active hata kukiwa na networks na pia huwezi kui-click

Pia naona km touch screen ipo very sensitive nowadays ukiwa unaongea na simu basi inajibonyeza sehemu yoyote ktk drop up box ya mute, keypad, speakerphone etc basi usumbufu sana

Unaweza kutatua?
 
simu yangu ya nokia c6-01 inajibonyeza yenyewe hadi kero msaada tafadhali
 
Wireless ya iphone 4 inakua inactive na haiwi active hata kukiwa na networks na pia huwezi kui-click

Pia naona km touch screen ipo very sensitive nowadays ukiwa unaongea na simu basi inajibonyeza sehemu yoyote ktk drop up box ya mute, keypad, speakerphone etc basi usumbufu sana

Unaweza kutatua?

already checked.
 
Back
Top Bottom