Fundi laptop

Fundi laptop

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa.
Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine.

Nimeipata mwaka jana haijachoka.

Tafadhali kama wewe ni fundi mzuri nipe address yako, natafuta mwaminifu na bei iwe ni ya kawaida nitakayoweza kuimudu.

Asante
 
0716098870 piga hiyo namba ni fundi mzuri sana yupo kinondoni manyanya
 
Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa.
Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine.

Nimeipata mwaka jana haijachoka.

Tafadhali kama wewe ni fundi mzuri nipe address yako, natafuta mwaminifu na bei iwe ni ya kawaida nitakayoweza kuimudu.

Asante

Mtafute mtu anaiitwa Kimox kimokole huku JF atakusaidia sana kwa bei poa sababu ww ni member wa JF
 
Ningekusaidia kwa Ghrama nafuu tatizo nimebanwa mno!!!
Nenda pale Round about uhuru/msimbazi Tafuta Voda shop ukiiona ulita watu maeneo hayo Fundi Paschal watakuelekeza ofisi yake ipo juu eneo hilo hilo atamaliza tatizo lako
 
Huyu Paschal nilienda akachemsha, alafu jeuri sana, customer care yake ni zero. Nahisi hata kuna vitu alibadilisha ndani.

Mwambie abadilike, siwezi recommend mtu kwake.
 
Mbona umeguna ??

Unajua kuna vitu vinashangaza sana kaka huyo jamaa Pascal niliyemtaja niliwahi kupiga naye mzigo miaka 3 iliyopita na alikuwa yupo fit kabisa kudili na haya madude yetu, leo naambiwa kachemsha mbaya zaidi ana kiburi, huduma mbovu etc.
Nadhani atakuwa keshavimba bichwa au anaendekeza mambo ya nataka kulewa so anatuharibia fani
 
Umesikia upande mmoja tu, Ungepata nafasi ukamuuliza anaweza sema nn kilitokea. Unaweza kukuta walikosana jambo dogo tu. Usihukumu Kaka
[MENTION=80751]shaffin Simbamwene
 
Uko sasa mana ametoa judgment kwa kusikiliza upande mmoja... By da way wapigie hao uliopewa namba zao uone itakuaje. Kama mkishindana basi wewe ndio unatatizo.
 
Umesikia upande mmoja tu, Ungepata nafasi ukamuuliza anaweza sema nn kilitokea. Unaweza kukuta walikosana jambo dogo tu. Usihukumu Kaka
shaffin Simbamwene

Wala sikujibizana naye kitu zaidi ya kuzungushwa, kukalishwa benchi na baadae kuambiwa njoo kesho na kesho yenyewe ikawa haijapona.
Kwa sasa analo jina pale kkoo na wateja wengi, so analinga kweli, hajuhi kudeal na wateja.

Mpaka nikajiuliza mbona tuna vijana wengi wamemaliza masomo ya ICT kwa nini wasijiajiri kwenye huu ufundi tukawa nao wengi?
Najua wengi wanapenda zile za maofisini za ku-install softwares na kuelekeza watu maofisini.

Hii ni opportunity kwa vijana kuvuna pesa
 
Christian Benedict 0719 858 626 Huyu kijana ni mtaalam sijapata kuona. yupo Mwenge, Mpigie simu
 
Huyu Paschal nilienda akachemsha, alafu jeuri sana, customer care yake ni zero. Nahisi hata kuna vitu alibadilisha ndani.

Mwambie abadilike, siwezi recommend mtu kwake.

Ni kweli mkuu,jamaa jeuri sana kwa sababu ya kuwa na uhakika wakupata wateja.. Na pia anasifa ya kunyofoa vifaa kwa baadhi wateja wake. Jamaa zangu kama wawili wamekutana sakata la kunyofolewa vifaa kwenye mashine zao hadi kufikishana polisi.
 
Mkuu na ww umewahi kuingia kwenye anga zake?
 
Back
Top Bottom