Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

poppah
Je inawezekana kupata channel ya ss Motorsport “235” katika kifurushi cha Access cha DSTV?
 
Fainali Europa leo kwenye Canal+ decoder
 
Sas hv dstv kuna office /banda umiza package ambayo tunalipa 49000 tu, tunaangalia had uefa kwa bei hyo
 
UEFA Euro na Copa America, zote kwenye Canal+
 
Reactions: Lee
Sante mkuu
Maana nafkiria dstv, azam, statimies, zuku,
Kat ya, hzo nichukue gani
Hapo lazima uangalie contents gani unapendelea na zinapatikana king'amuzi kipi. Pia lazima uangalie bajeti yako
 
Fundi dish yoyote hasa wa STARTIMES aliyepo Iringa mjini anitafute nimpe dili la hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…