Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

We are not human beings having a spiritual experience, we are spiritual beings having a human experience. Nachotambua roho zetu zilikuwapo kabla ya kuingia kwenye miili yetu vivyo hivyo zitarejea kule zilipotoka ila ni wajibu wa kila mmoja kuitunza roho yake vyema kabla haijarejeshwa
kama zitarudi zilipotoka nini faida ya zenyewe kuwepo ktk mwili..? na ktendo hiki kina maana gani..?
 
Mkuu kwanza kuna roho ngapi?maana kuna ninazosikiaga zikitajwa mfano,Roho za Kukataliwa,Roho za Madeni,Roho Mbaya..Roho za mpinga Kristo.....
Naomba ufafanuzi Bro!
 
Mkuu kwanza kuna roho ngapi?maana kuna ninazosikiaga zikitajwa mfano,Roho za Kukataliwa,Roho za Madeni,Roho Mbaya..Roho za mpinga Kristo.....
Naomba ufafanuzi Bro!
hahhaahahhhah hiii yako ngumu kumeza...bila kusahau roho ya korosho tehe
 
Hivi mshana, kinachofanya DNA kutengeneza CELL za kila kitu mpaka maumbo KUMBUKUMBU hiyo ipo kwenye nini?
 
Hiki umeandika nini?,mbona unakataa kisha unakubali ?Ama huelewi unachoandika?.
Mwanzo umesema roho haiwezi kujitegemea kisha jamaa kakutingisha kidogo tu umehama na kukubaliana nae sasa nini ni nini.
Kuna siku niliwahi kukuambia mshana Jr kwamba upande huu haukufai nadhani hukunielewa.
Ubashiri wangu ulikuwa sahihi,nilibashiri hutakosa kwenye mada hii.
kuna wengine pia ambao wapo ktk orodha ya ubashiri wangu,nao watakuja tu kukoment maana hakuna namna.
 
Ok kama sina ninalojua kuhusu haya mambo hebu andika wewe unalolijua, majigambo hayana nafasi hapa shusha nondo halafu twende hoja kwa hoja...!
Hana lolote mkuu,sana sana ukimbana atakimbilia kukudai ushahidi wa uwepo wa MUNGU,period.[emoji1] [emoji1]
 
Hana lolote mkuu,sana sana ukimbana atakimbilia kukudai ushahidi wa uwepo wa MUNGU,period.[emoji1] [emoji1]
Ndio maana nikamfungia vioo nilimwambia twende hoja kwa hoja akashindwa, akaanza kuleta mipasho na kupigia debe post zake..nikaona hakuna kitu hapa
 
Hivi mshana, kinachofanya DNA kutengeneza CELL za kila kitu mpaka maumbo KUMBUKUMBU hiyo ipo kwenye nini?
DNA ni jambo la kisayansi zaidi lakini ukija huku kwingine ni roho ile ile ndio inayofanya kazi kote
 
Mkuu kwanza kuna roho ngapi?maana kuna ninazosikiaga zikitajwa mfano,Roho za Kukataliwa,Roho za Madeni,Roho Mbaya..Roho za mpinga Kristo.....
Naomba ufafanuzi Bro!

hahhaahahhhah hiii yako ngumu kumeza...bila kusahau roho ya korosho tehe
Kuna mahali tulijadili kwa undani kuhusu roho zinazotangatanga, hizi kwa kiasi kikubwa ndio huleta shida katika jamii, japo kuna wakati yaweza kuwa dhana za kufikirika tuu
Tukirudi kwenye swali roho ni moja tu ndani ya mwili
 
Heshima yako kiongozi....
 
kinachomiliki roho ni nini? na kinachopaswa kuitunza roho ni nini?
Hapa kuna misunderstanding ... mwili unatunza roho au roho inatunza mwili...

mi nadhani roho haimilikiwi ila yenyewe ndio muhimili wa nafsi na mwili, kwa wenye imani hufunga kula chakula ili kuipa roho nguvu hivyo mwili ni hekalu tu ambamo roho imeifadhiwa kwa muda. Tambua mwili bila roho umekufa hii inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai ni roho.
 
kinachomiliki roho ni nini? na kinachopaswa kuitunza roho ni nini?
Hapa kuna misunderstanding ... mwili unatunza roho au roho inatunza mwili...
Ukiitunza roho itauongoza Mwili na usipoitunza roho, mwili utajiongoza wenyewe. Kumbuka roho inajua yale ambayo mwili hauyajui, hivyo, kutoongozwa na roho mwili upo kwenye risk kila wakati. Chakula cha roho ni neno, chakula cha mwili sote twakijua. Nimejaribu kadadavua fikra zangu kidogo, nipo tayari kukosolewa ila tukumbuke Quran inasema "Wanauliza habari za roho? Waambie, Ninyi hamkufunuliwa elimu hiyo isipokuwa kidogo"
Kwa hiyo sote hapa tunatapatapa tu maana hata Mwenyezi MUNGU aliyetuumba anasema wazi kuwa hakuifunua elimu juu ya roho isipokuwa kidoogo. Ngoja tuendelee kutapatapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom