Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

We are not human beings having a spiritual experience, we are spiritual beings having a human experience. Nachotambua roho zetu zilikuwapo kabla ya kuingia kwenye miili yetu vivyo hivyo zitarejea kule zilipotoka ila ni wajibu wa kila mmoja kuitunza roho yake vyema kabla haijarejeshwa
kinachomiliki roho ni nini? na kinachopaswa kuitunza roho ni nini?
Hapa kuna misunderstanding ... mwili unatunza roho au roho inatunza mwili...
 
kinachomiliki roho ni nini? na kinachopaswa kuitunza roho ni nini?
Hapa kuna misunderstanding ... mwili unatunza roho au roho inatunza mwili...
Swali zuri. Au vinapokuwa pamoja utunzana japo kimoja (roho) ina uwezo wa kujitegemea?
 
Swali zuri. Au vinapokuwa pamoja utunzana japo kimoja (roho) ina uwezo wa kujitegemea?
Roho haiweZi kujitegemea wala mwili ili kutengeneza uhai viwili hivi inabidi viwe pamoja
 
Roho haiweZi kujitegemea wala mwili ili kutengeneza uhai viwili hivi inabidi viwe pamoja
Si tunaambiwa mtu anapokufa roho utengana na mwili kisha mwili wenyewe uoza wakati roho uendelea kuwepo sijui wapi vile?! Ndiyo maana nikasema kimoja (roho) kinaweza kujitegemea kutokana na uwezo wake wa kuendelea kuwepo baada ya kuwa imeachana na mwili ambao uoza.
 
Mkuu kwa nilivyokuelewa ni kwamba umeomba upate somo la jinsi ya kuzitunza roho zetu. Na suala la kuhusu roho ni la kiimani kutoka kwenye hizo dini,ndipo nilipo uliza tu kwa kutaka kujua hilo somo unalotaka(jinsi ya kutunza roho zetu) liwe tofauti na hizi dini litapatikana vp?
ahaa hapo sasa mkuu wewe nami tumeelewana. shukrani kwa mshana jr kwa kupokea ombi langu kama changamoto na kuahidi kulifanyia kazi. Tupeane muda.
 
Si tunaambiwa mtu anapokufa roho utengana na mwili kisha mwili wenyewe uoza wakati roho uendelea kuwepo sijui wapi vile?! Ndiyo maana nikasema kimoja (roho) kinaweza kujitegemea kutokana na uwezo wake wa kuendelea kuwepo baada ya kuwa imeachana na mwili.
Roho ni energy hivyo haiweZi kujitegemea bali hutafuta jumba lingine refer dhana ya reincarnation, au roho zinazotangatanga,mizimu nk
 
Roho ni energy hivyo haiweZi kujitegemea bali hutafuta jumba lingine refer dhana ya reincarnation, au roho zinazotangatanga,mizimu nk
Mkuu Mshana umejibu vizuri. Lakini bado napata swali kwamba kama baada ya roho kuachana na mwili na mwili huo kuoza, hiyo roho (energy) kama ina uwezo wa kutafuta jumba lingine si ndiyo kujitegemea huko wakati mwili (jumba) wenyewe hauwezi kujitegemea kwa kutafuta roho (energy) nyingine?
 
Kwa muktadha huu nakubaliana nawe roho kwakuwa ndio uhai ina uwezo wa kujitegemea kwa kutafuta kiwanja kingine lakini mwili ni jumbabovu lisilo na uwezo wowote
 
Moyo ni sehemu ya mwili inapokaa roho..moyo ni kabati ndani ya nyumba sawa na control box kwenye gari
Moyo ni mboga kwa watu wenye roho mbaya na katili (kama Idd Amin Dada, Bokassa n.k.). Hivi roho ndiyo inayo determine uwezo wetu binadamu kwenye utambuzi wa mambo?
 
Moyo ni mboga kwa watu wenye roho mbaya na katili (kama Idd Amin Dada, Bokassa n.k.). Hivi roho ndiyo inayo determine uwezo wetu binadamu kwenye utambuzi wa mambo?
Hapa tunakuja sasa kwenye medulla system ambayo ni backup ya roho
 
Hapa tunakuja sasa kwenye medulla system ambayo ni backup ya roho
Si na wanyama wote kama sokwe, nyani, ng'ombe nao wana medulla system inayowasaidia kwenye utambuzi? Na kama medulla system ni back up ya roho, ina maana na wanyama kama hao sokwe na kadhalika nao wana roho?
 
Wana roho na wana utambuzi tena mkubwa kuliko binadamu
 
Wana roho na wana utambuzi tena mkubwa kuliko binadamu
Lakini kwenye vitabu vitakatifu (nimewahi soma kwenye biblia) kwamba wakati wa uumbaji Mwenyezi Mungu alikuwa akiumba viumbe wengine (including wanyama kama sokwe) kwa kunena tu na wakawepo. Lakini wakati wa kumwuumba mwanadamu alitumia mikono yake na udongo kisha akampulizia pumzi ya uhai ambayo in essence ndiyo roho. Sasa inakuwaje na wanyama ambao hawakupuliziwa pumzi ya uhai (roho) nao wawe na roho? Na je kama nao wana roho wanapokufa na miili yao kuoza, roho (energy) zao nazo ubaki na kutafuta jumba jingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom