Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Ni mtazamo wako wenye makengeza mengi uliokuja na mzigo tuhuma za bila ithibati wala suluhisho zaidi ya kutaka ku justify bila basis zozote kwahiyo baada ya kuwa na critical thinking tunabaki au kurudi nyuma kwenye tuhuma zile zile za wale ambao si waamini

Wewe ndio una ithibati?...Na wewe hoja zako hazina makengeza?...mtu akiamua kuamini vitabu vya stori za kufikirika walivyotunga watu kama yeye bila udhibitisho wowote unanifanya ni question your judgement
 
Mimi sina ithibati mambo ya kiroho hayana ithibati ya kimwili kama sayansi kwakuwa roho sio solid object au hata liquid
 
e1065c96e74e1b9420496d955718b9a4.jpg
8a33f04e243555154383540ccf7e46c7.jpg
 
Sio kweli.........ni Mwana Adamu au Bin Adam

Yaah mwana(swahili) na bin(arabic) zote zikiwa na maana ya mtoto ukiunganisha na ADAMU(Mwanadamu au Binadamu) yamaanisha mtoto wa ADAMU.
Mwana-damu, bin-adamu ambiguity of 6he the language? Kimsingi ni kitu hicho hicho labda tofauti iko kwenye matumizi ambayo nayo ukija kuangalia yanafanana, kwahiyo labda tuseme ni aina tu ya uandishi na kutegemeana na uasili wa neno
 
Thibitisha kwamba hakuna Mungu

Thibitisha kwamba hakuna roho

Kwa nini unauliza swali kabla ya kujibu swali?.Hii ni dalili ya kukosa majibu ya maswali unayoulizwa.Huwa nawaambia humu mmekariri tu kwamba kuna mungu lakini hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha kwamba kweli kuna mungu.!

Ukiniambia nithibitishe kwamba hakuna mungu nakushangaa kwa sababu KISICHOKUWEPO HAKIWEZI KUTHIBITISHWA KWAMBA HAKIPO KWA SABABU HAKIPO.You cant prove negative!.Sasa wewe unayesema kuna mungu em thibitisha kwamba yupo.

Think big!,
Karibu katika ulimwengu huru

...........Free ideas.....
 
Thanks for seeing you back! Nilishawahi kukujibu kuwa Mungu sio Object kuwa unaweza kushika au kuona kwa macho! Na hapo ndio tunapoachana kwakuwa kwa mawazo yako Godhead is an object
 
Kama roho haifi, wewe kama nafsi ulikua wapi kabla ya yai la mwanamke na mbege ya kiume kuunngana? Basi ulikuwepo kwa sura ingine. Where were you before you came into existence in this world.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom