Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Naona kama kuna mkanganyiko labda kwa manufaa mkuu mshana ungeeleza kwa mapana kidogo tofauti ya roho,nafsi na mwili nap pia kwa mfano vinafanya kazi gani na kumsaidia huyu miumbe aitwaye binadamu...tafadhali sana
 
Mshana,story za uumbaji,nk,nk za kibiblia ni uongo tu,waandishi wa biblia ni questionable human beings just like us,story wamewaza vichwani mwao,hamna ushahidi na evidence whatsoever...

Vitu vyote vya biblia na kiimani ambapo havileti sense emperically hua ni vya kutupa right away...

Mwandishi wa hiyo hadithi ukimuuliza source yake ni wapi hatakua na cha kujibu,atakuambia ameoteshwa ndoto,mungu kamtokea,which is not true.

The biggest lie on earth ni stori za vitabu vya dini...hakuna biggest lie bigger than that
Ni mtazamo wako wenye makengeza mengi uliokuja na mzigo tuhuma za bila ithibati wala suluhisho zaidi ya kutaka ku justify bila basis zozote kwahiyo baada ya kuwa na critical thinking tunabaki au kurudi nyuma kwenye tuhuma zile zile za wale ambao si waamini
 
Naona kama kuna mkanganyiko labda kwa manufaa mkuu mshana ungeeleza kwa mapana kidogo tofauti ya roho,nafsi na mwili nap pia kwa mfano vinafanya kazi gani na kumsaidia huyu miumbe aitwaye binadamu...tafadhali sana
Iko hivi mwili ni jumba roho ni pumzi ya uhai hivi viwili vikiungana ndio vinatengeneza nafsi
 
Sio kosa lako kwa hiki ulichoandika ila kwa manufaa yako na ya wengine pia kwenye muunganiko wa kutengeneza nafsi roho haiweZi kujitegemea hilo ndio lilikuwa jibu langu la kwanza kisha jamaa akaja na reply ambayo ndio ilizaa jibu langu la pili kuwa kwenye ishu ya utengano roho huwa huwa ni kitu chenye mwendelezo ikiwa huru...haya mambo hayana jibu moja linalojitegemea kwakuwa kila aina ya swali huzaa jibu tofauti kwa muktadha wa maudhui yake.... hii elimu ya roho iko deep na vast kiasi kwamba usipokuwa makini na ukawa na rigid mind kama yako ni rahisi kutoa conclusion kama hii uliyotoa wewe....jisikie kuniuliza chochote nitakujibu kwa upole
791cb4f045cb80bc7ed7c4cf59a918cc.jpg

Haha,sina na sijawahi kuwa na Rigid mind.Wewe ndiye kigeugeu na huna msimamo katika kile unacho kisimamia.Wewe bado ni mchanga sana na unababaisha katika haya mambo kuwa mpole kijana.

...Free ideas.....
 
Iko hivi mwili ni jumba roho ni pumzi ya uhai hivi viwili vikiungana ndio vinatengeneza nafsi

Huna unalolijua mshana Jr kuhusu haya maswala ila unajikakamua tu humu.Ingefaa upate elimu kwanza ya haya mambo kisha uje uwape watu elimu hiyo.Karibu sana katika ulimwengu Huru

....Free ideas.......
 
Haha,sina na sijawahi kuwa na Rigid mind.Wewe ndiye kigeugeu na huna msimamo katika kile unacho kisimamia.Wewe bado ni mchanga sana na unababaisha katika haya mambo kuwa mpole kijana.

...Free ideas.....
Naamini majibu yangu yamekukolea vema ndio maana ukakosa hoja zaidi ya kuja na hivi vijembe vya kitoto...bado si kosa lako laiti ningekuwa mchanga na kuandika vitu vya kubahatisha nisingeweza kuendelea kuandika hadi leo hii...
 
And they ask you, [O Muhammad], about the soul. Say, "The soul is of the affair of my Lord. And mankind have not been given of knowledge except a little."

Na wanakuuliza [Ewe Muhammad], kuhusu roho. Sema, "Roho ni jambo lililokhusika na Mungu wangu . Nanyi hamkupewa katika elimu (ujuzi) ila kidogo kabisa.(Nayo ni elimu ya vitu visivyo usika na roho). Quran 17:85
 
Huna unalolijua mshana Jr kuhusu haya maswala ila unajikakamua tu humu.Ingefaa upate elimu kwanza ya haya mambo kisha uje uwape watu elimu hiyo.Karibu sana katika ulimwengu Huru

....Free ideas.......
Ok kama sina ninalojua kuhusu haya mambo hebu andika wewe unalolijua, majigambo hayana nafasi hapa shusha nondo halafu twende hoja kwa hoja...!
 
Haya majibu yako yanadhihirisha ufinyu wa elimu kuhusu haya maswala
Unajua unachosha sasa wewe mbona huji na hoja sasa? Unakosoa tu bila ithibati wala hoja? Hebu chagiza kwa hoja
Najaribu kukuweka kwenye mstari wa hoja lakini naona huelekei huko ! Hii yaweza kuwa reply yangu ya mwisho kwako baada ya hapo andika utakachoweza sitajibishana nawe tena kwakuwa Sioni hoja bali utoto na ujuaji maruerue
 
Jamaa mara nyingi huwa anaandika sana vitu visivyofikiriwa na wengi wetu, hii ndio humfanya awe wa pekee sana.
Kila ninaposoma mabandiko yake, huwa ananiwazisha sana, kuwa alikuwa akiwaza nini hadi kuamua kuandika bandiko husika.
Mkuu, nakupongeza coz unaandika zaidi vitu visivyozungumzwa kwenye mazingira yetu. Hii ni kitu kizuri sana coz unaamsha tabia mpya kwetu.
Isitoshe, mkuu una uwezo mkubwa wa kuandika jambo na likaeleweka vizuri sana bila maswali ya ziada kama alivyo Nifah wangu.
Endelea hivyo, wasiokuelewa sasa wanaweza kukuelewa baadaye, au vizazi vyao vitakuja kukuelewa.

Ova
 
Nafikiri Roho ina uwezo wa kusafiri sehemu tofauti...pia ina kumbukumbu ya yaliyopita kabla ya kuzaliwa mwili....na kuchuja yajayo....
Mkuu acha kukoti topic mnatupa tabu hapa
 
Jamaa mara nyingi huwa anaandika sana vitu visivyofikiriwa na wengi wetu, hii ndio humfanya awe wa pekee sana.
Kila ninaposoma mabandiko yake, huwa ananiwazisha sana, kuwa alikuwa akiwaza nini hadi kuamua kuandika bandiko husika.
Mkuu, nakupongeza coz unaandika zaidi vitu visivyozungumzwa kwenye mazingira yetu. Hii ni kitu kizuri sana coz unaamsha tabia mpya kwetu.
Isitoshe, mkuu una uwezo mkubwa wa kuandika jambo na likaeleweka vizuri sana bila maswali ya ziada kama alivyo Nifah wangu.
Endelea hivyo, wasiokuelewa sasa wanaweza kukuelewa baadaye, au vizazi vyao vitakuja kukuelewa.

Ova
Noted with deep appreciations Mdakuzi
 
Unajua unachosha sasa wewe mbona huji na hoja sasa? Unakosoa tu bila ithibati wala hoja? Hebu chagiza kwa hoja
Najaribu kukuweka kwenye mstari wa hoja lakini naona huelekei huko ! Hii yaweza kuwa reply yangu ya mwisho kwako baada ya hapo andika utakachoweza sitajibishana nawe tena kwakuwa Sioni hoja bali utoto na ujuaji maruerue

Kama umechoka kwa kukosolewa kidogo kama hivyo basi inadhihirisha jinsi ulivo mkavu sana kichwani.
Siwezi kuleta hoja kwa kitu kisichohitaji hoja.Tafuta thread zangu uone naandika nini humu kisha jipime.
Karibu sana katika ulimwengu huru.
....Free ideas.....
 
jamani mbona kutishana. kama roho ilishakuwepo ikaiingia kwangu na itarejea ilikotoka. so mbona mm sikumbuki nlikuwa nani kabla ya kuzaliwa?
Hapa umezungumzia kwa muktadha wa reincarnation, ndio maana unajaribu kuhoji kuhusu maisha yaliyopita na kumbukumbu zake
 
Naamini majibu yangu yamekukolea vema ndio maana ukakosa hoja zaidi ya kuja na hivi vijembe vya kitoto...bado si kosa lako laiti ningekuwa mchanga na kuandika vitu vya kubahatisha nisingeweza kuendelea kuandika hadi leo hii...

Wewe bado mchanga sana humu Jf tafuta thread zangu utajua mi naandika nini.Huwa nashangaa sana watu wanaokupa credit kwa hoja zako za kichawi za ku-google na ku-paste humu.Tumia akili kujibu hoja na kufanya fikira
...........Free ideas,........
 
Jamaa mara nyingi huwa anaandika sana vitu visivyofikiriwa na wengi wetu, hii ndio humfanya awe wa pekee sana.
Kila ninaposoma mabandiko yake, huwa ananiwazisha sana, kuwa alikuwa akiwaza nini hadi kuamua kuandika bandiko husika.
Mkuu, nakupongeza coz unaandika zaidi vitu visivyozungumzwa kwenye mazingira yetu. Hii ni kitu kizuri sana coz unaamsha tabia mpya kwetu.
Isitoshe, mkuu una uwezo mkubwa wa kuandika jambo na likaeleweka vizuri sana bila maswali ya ziada kama alivyo Nifah wangu.
Endelea hivyo, wasiokuelewa sasa wanaweza kukuelewa baadaye, au vizazi vyao vitakuja kukuelewa.

Ova

Sio sababu.Anapwaya sana huyo tafakar
 
mashana jr hivi roho mbaya au roho mzuri zinatoka wapi, maana utamsikia MTU anamuambia mwenzake kuwa ana Roho mbaya

Hawezi kujibu swali hilo zaidi ya fix.Jamaa anapwaya sana,Ila IQ yako ndo itadetermine uelewa wako.Be free
...........Free ideas.....
 
mashana jr hivi roho mbaya au roho mzuri zinatoka wapi, maana utamsikia MTU anamuambia mwenzake kuwa ana Roho mbaya
Hii ni state of mind..matendo ya mtu ndio yanayo determine uzuri au ubaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom